Badala ya kununua Toyota Harrier nunua hii gari

Sasa hiyo RR na Landcruiser V8 zinautofauti gani?

Kwamba Air Suspension za V8 utanunua Laki 2 wakati za RR utanunua 3m?

Spea za Toyota kuzipata ni rahisi mno ukilinganisha na range kama sikosei kamanda, na upande wa bei sidhani kama bei zinalingana, ebu fanya tafiti

All in All Range, cruiser and land rover defender nazipenda
 
Hapo tatizo limekutana na wewe unayejua unachofanya, shida ni probability ya kupata mtu mwenye uelewa wa nini anachofanya, hizo gari unakuta ni control unit moja imezingua halafu faults zikatoka hata 20, sasa ukikutana na mtu anayebahatisha unaweza kuletewa invoice ya vitu vya kununua inakimbilia CIF ya gari lenyewe....shida zaidi inakuja tuseme limezingua huku umesafiri kuingia nalo mikoani ndani ndani
 
Spea za Toyota kuzipata ni rahisi mno ukilinganisha na range kama sikosei kamanda, na upande wa bei sidhani kama bei zinalingana, ebu fanya tafiti

All in All Range, cruiser and land rover defender nazipenda
Wewe ona tu V8 zinatembea humu barabarani.

Likiharibika chochote ukaletewa mkeka ndio utajua hujui.
 
Usiguseee kolopo ilo
 
Acha watu watambe na matako ya nyani mjini, hayo makolo kolo ya kijerumani yaone tu yakipita likiwa zima.

watu walisha ona matatizo yao koo huna cha kuwashauli hapo, wakati tako la nyani hati ukiligonga bampa likaisha 2M inatosha na unarudi road upya kwa masosy garaji
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Nokia 5.3 using JamiiForums mobile app
 
Range za mwaka huo nyingi befoward ni dola elf tisa
 
Wewe ona tu V8 zinatembea humu barabarani.

Likiharibika chochote ukaletewa mkeka ndio utajua hujui.
Wengi humu V8 wanaziona barabarani tu hawajui nini kinaendelea. Kuna mahali nili supply brake za mbele na nyuma za 2015 VW Touareg bill ilikuwa 480,000/- na hapo hapo kuna mtu aka supply front brake pads tu za V8 nafikiri ilikuwa 2012/14 hivi mkeka wake ni 400,000/- sikuamini.
Best friend wangu ana Y62 kanunua brand new Nissan hapo, sasa hivi haina hata 20,000km ina wobble ukishika brake, uchunguzi umeonesha ni brake disc zishalika bill 1.2m kila moja na haziko kwenye warranty. Hio gari ikienda service kuacha 800,000-1,200,000 ni kawaida sana.
 
Hii ikikufikia hapa Tz mwezi mmoja tu air suspension zinajibu, moja ni kama 1.2m sasa unahitaji nne. Baada ya miezi mingine miwili compressor ya kupandisha hizo air suspension itajibu utahitaji 1.2m hivi. Kifupi hilo hapo limefika muda wa kubadili vitu kibao, vitakuangukia wewe trust me utalipaki kwasababu sio level yako. Ikiwa level yako utachukua kuanzia 2013 na kuendelea ni new shape na halijala umri sana.
 
Y62 mnyama sanaaa.. kwa 1.2million, hapo sawa kabisaa 😂😂
 
achukue achinje anaweza pata parts za kuuza
 
Kwanini air suspension za gari ndogo ni expensive hivyo? Pia zinaonekana sio durable!!
 
Sasa meku kama Ujerumani unaiita dunia ya tatu, sisi tunaolazimishwa kuwa sisiemu pekee ndiyo inayoweza kuongoza nchi, sisi ambao tupo na Gaidi Mbowe, si tutaitwa dunia ya 37...[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji85][emoji85]

Pili, hilo Ranger over Harrier, kwa kweli unataka tuingie choo cha stand peku.......[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…