Okay hata mimi labda niongee from Experience....
Outside kuna watu wengi tu wanafanya diagnosis vizuri kabisa.... Inategemea tu wewe umekutana na nani?
Mfano mdogo tu look at these pictures.
View attachment 2053451
View attachment 2053452
Hizo codes zipo 15 na zote zinaihusu engine.
Ukisummarize unapata vitu kama 11 hivi ambavyo kwa harakaharaka mtu mwingine akipima atakuambia you need to buy all those 11 things.
Na siyo kwamba hizo codes ni history, hapana, sababu ilikuwa ukizifuta zinatoka zote ila ukiendesha gari baada ya muda mfupi zinarudi zote.
Sasa baada ya kuja kufatilia hizo code zote zilikuwa zinasababishwa na 👇👇👇
View attachment 2053461
Na some shorts ndani ya Control box.
After sorting out hayo code pekee iliyobaki ni hiyo ya thermostat, na ilikuwa ni ya kununua nyingine.