Badala ya kununua Toyota Harrier nunua hii gari

Ya Moto sana hii
 
Acha urongo. Mm nilishawahi kununua gari ya CIF 5500 USD (Xmass offer) kwa CIF 2,200 USD mwaka wa pili huu ni service ya kumwaga oil na majuzi nimebadilisha break pads tu. Berri bado Ile Ile iliyotoka Japan.
 
Running costs ndio kimbembe
 
Harrier ni nyingi sababu RR ni gharama kumaintain. Hakuna sababu nyingine.
Mafuta kuna Toyota yana cc za kutosha na yapo.
Sio tu ni gharama, harrier ikila 2M inatulia kabisa😅 mwaka mzima au zaidi na vile ni gari ya juu juu sio swala. We ni mafuta tu!

Range Rover itakula 2M baada ya week 2 tena itataka ile laki 6 hujakaa sawa italilia 1.5M utaipa ikienda enda mwezi inakulilia 1M tena utaipa ikikaa week tatu inakula laki 8. Huu mchezo unaweza kufanywa na matajiri tu ila kwa mtu anayetegemea mshahara gari inaweza kumfilisi. Ndio sababu watu wanafia kwa mjapani.
 
Wewe ona tu V8 zinatembea humu barabarani.

Likiharibika chochote ukaletewa mkeka ndio utajua hujui.
V8 zile wanaburuza madereva wa serikali sababu service yake ni ya kuandikia ofisi tu ila mtu binafsi ukilipewa ndani ya miezi tu unaweza ukalipaki jumla😅 kama milion 4-6 kwa mwezi huwezi kuzishika.
 

Tatizo la wabongo wengi wanapenda muonekano, ukimwekea harrier na range atakimbilia range hata kama anashindia udagala na chumba cha kupanga
 
Mie nimesimamia service ya Surf new model kuanzia dukani mpaka kwa mafundi. Ku replace coils bushes na new shockups yani fully suspension parts mbele na nyuma imekula 4.5M straight😅 vifaa vimefika 4M vyote na ufundi na mambo ya allignment sijui camber ndio inagonga 4.5M na hapo ni original parts za Toyota.

Shockups tu ni laki 8 hapo bado hujaweka coils ambazo ni laki 6 mbele tu! Ukija nyuma napo wembe ni ule ule😅😅😅 halafu anatokea mtu anasema Toyota ni rahisi ku maintain. Toyota Truck yoyote ya 4x4 sio rahisi asikudanganye mtu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…