Badala ya kununua Toyota Harrier nunua hii gari

Tatizo la wabongo wengi wanapenda muonekano, ukimwekea harrier na range atakimbilia range hata kama anashindia udagala na chumba cha kupanga
Hahahaha wanapenda sifa tu zile kuwa gari ya kipapaa
 
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Na hio ndio shida ya Range RoversπŸ˜… ni chain of problems. Ikijamba unapigwa pesa ndefu hukai sawa inakuchomoa tena kibunda hujakaa sawa inakupasua tena ubongo yani ndani ya mda mchache lazma kinaumana utaikumbuka ile harrier uliokuwa unaitumia kabla huja upgrade tuπŸ˜…
 
Kabisa mkuu. Upo sahihi sana.
 
Yeah sio kwamba gari za ulaya watu hawazioni ila sio himilivu ratiba zake za service ni ngumu
Halafu sio kuwa hatuzipendi ila sasa unalazimika kuwa na Toyota kama backup. Hapa ninapoandika huu uzi BM ipo garadge inasubiri vifaa ambavyo ingekuwa ni TOYOTA ni siku hiyo hiyo ingetoka. Nashukuru nina TOYOTA na naiheshimu sana.
 
Hahahahahah we ni mjanja sana basiπŸ˜… mjerumani bila kuwa na backup ya Toyota lazma ulie na kusaga meno!

Utakula boda boda week nzima au 2 we ni boda boda tu na bajaji au uber wakati unasubiria kadude kadogo tu kafike nchini.

Twende tukubaliane tu German cars are fancy cars not practicle cars. Itatembea kama Toyota ila inakuwa kama imegeshewa tu kuzingua ni anytime.
 
True kabisa mkuu.
 
Yeah sio kwamba gari za ulaya watu hawazioni ila sio himilivu ratiba zake za service ni ngumu
Tatizo wajerumani weusi wa Tandale hua wanajifanya wanakataa hii fact wkt dunia nzima iko proven.
 
Halafu sio kuwa hatuzipendi ila sasa unalazimika kuwa na Toyota kama backup. Hapa ninapoandika huu uzi BM ipo garadge inasubiri vifaa ambavyo ingekuwa ni TOYOTA ni siku hiyo hiyo ingetoka. Nashukuru nina TOYOTA na naiheshimu sana.
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ bila Shaka wkt unataka kununua bimmer wadau Walikua wakikupa ushauri unawajibu kwa sauti ukisema "dunia Ni Kijiji nitaagiza parts hata online πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„".Pole Sana chief
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ bila Shaka wkt unataka kununua bimmer wadau Walikua wakikupa ushauri unawajibu kwa sauti ukisema "dunia Ni Kijiji nitaagiza parts hata online πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„".Pole Sana chief
Na ndicho kinachofanyika boss. Ningekuwa mjinga kama nisingejua kuwa natakiwa pia kuwa na toyota boss. Hizi gari ni nzuri mkuu ila ndo hivyo tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…