Badala ya kununua Toyota Harrier nunua hii gari

Badala ya kununua Toyota Harrier nunua hii gari

Mie nimesimamia service ya Surf new model kuanzia dukani mpaka kwa mafundi. Ku replace coils bushes na new shockups yani fully suspension parts mbele na nyuma imekula 4.5M straight[emoji28] vifaa vimefika 4M vyote na ufundi na mambo ya allignment sijui camber ndio inagonga 4.5M na hapo ni original parts za Toyota.

Shockups tu ni laki 8 hapo bado hujaweka coils ambazo ni laki 6 mbele tu! Ukija nyuma napo wembe ni ule ule[emoji28][emoji28][emoji28] halafu anatokea mtu anasema Toyota ni rahisi ku maintain. Toyota Truck yoyote ya 4x4 sio rahisi asikudanganye mtu.

View attachment 2094685
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Hii ikikufikia hapa Tz mwezi mmoja tu air suspension zinajibu, moja ni kama 1.2m sasa unahitaji nne. Baada ya miezi mingine miwili compressor ya kupandisha hizo air suspension itajibu utahitaji 1.2m hivi. Kifupi hilo hapo limefika muda wa kubadili vitu kibao, vitakuangukia wewe trust me utalipaki kwasababu sio level yako. Ikiwa level yako utachukua kuanzia 2013 na kuendelea ni new shape na halijala umri sana.
Na hio ndio shida ya Range Rovers😅 ni chain of problems. Ikijamba unapigwa pesa ndefu hukai sawa inakuchomoa tena kibunda hujakaa sawa inakupasua tena ubongo yani ndani ya mda mchache lazma kinaumana utaikumbuka ile harrier uliokuwa unaitumia kabla huja upgrade tu😅
 
Sio tu ni gharama, harrier ikila 2M inatulia kabisa😅 mwaka mzima au zaidi na vile ni gari ya juu juu sio swala. We ni mafuta tu!

Range Rover itakula 2M baada ya week 2 tena itataka ile laki 6 hujakaa sawa italilia 1.5M utaipa ikienda enda mwezi inakulilia 1M tena utaipa ikikaa week tatu inakula laki 8. Huu mchezo unaweza kufanywa na matajiri tu ila kwa mtu anayetegemea mshahara gari inaweza kumfilisi. Ndio sababu watu wanafia kwa mjapani.
Kabisa mkuu. Upo sahihi sana.
 
Yeah sio kwamba gari za ulaya watu hawazioni ila sio himilivu ratiba zake za service ni ngumu
Halafu sio kuwa hatuzipendi ila sasa unalazimika kuwa na Toyota kama backup. Hapa ninapoandika huu uzi BM ipo garadge inasubiri vifaa ambavyo ingekuwa ni TOYOTA ni siku hiyo hiyo ingetoka. Nashukuru nina TOYOTA na naiheshimu sana.
 
Hahahahahah we ni mjanja sana basi😅 mjerumani bila kuwa na backup ya Toyota lazma ulie na kusaga meno!

Utakula boda boda week nzima au 2 we ni boda boda tu na bajaji au uber wakati unasubiria kadude kadogo tu kafike nchini.

Twende tukubaliane tu German cars are fancy cars not practicle cars. Itatembea kama Toyota ila inakuwa kama imegeshewa tu kuzingua ni anytime.
 
True kabisa mkuu.
 
Halafu sio kuwa hatuzipendi ila sasa unalazimika kuwa na Toyota kama backup. Hapa ninapoandika huu uzi BM ipo garadge inasubiri vifaa ambavyo ingekuwa ni TOYOTA ni siku hiyo hiyo ingetoka. Nashukuru nina TOYOTA na naiheshimu sana.
😄😄😄 bila Shaka wkt unataka kununua bimmer wadau Walikua wakikupa ushauri unawajibu kwa sauti ukisema "dunia Ni Kijiji nitaagiza parts hata online 😄😄😄".Pole Sana chief
 
Tena siku ukiliwasha ukakuta lipo hivi, ndio utajua hujui 🤣View attachment 2053007

9A9126C1-E49D-470C-8E98-E0CFAE34ACFA.jpeg
 
😄😄😄 bila Shaka wkt unataka kununua bimmer wadau Walikua wakikupa ushauri unawajibu kwa sauti ukisema "dunia Ni Kijiji nitaagiza parts hata online 😄😄😄".Pole Sana chief
Na ndicho kinachofanyika boss. Ningekuwa mjinga kama nisingejua kuwa natakiwa pia kuwa na toyota boss. Hizi gari ni nzuri mkuu ila ndo hivyo tena.
 
Back
Top Bottom