Badala ya kununua Toyota Harrier nunua hii gari

nimecheka hitimisho lako😂
 
kodi 14m hahahaaha
 
Mimi siku nikiwa na pesa nitachukuwa tu Range,japo wataalamu wamepinga,hili unanunua kwa ajili ya kuli drive weekend tu,siku za kawaida unakuwa na ka IST
 
Watu wanazo na maisha yanaenda tu kikubwa kama umeagiza linakuwa halina shida mbovu no zile za kununua kwa watu
 
Kwa hiyo unatumia hela nyingi kwenye gari ambalo unalienjoy weekend tu? Ni heri ulitumie tu mpaka litakapokufa hata kama ni kiaka mitano tu
 
Hapo pia upo sahihi Mkuu,lengo lilikuwa kubana budget ya mafuta,nasikia Lina cc zaidi ya elfu nne
 
Watu wanazo na maisha yanaenda tu kikubwa kama umeagiza linakuwa halina shida mbovu no zile za kununua kwa watu
Ndio Mkuu,nimeona kulitoa UK mpaka hapa Ni kwenye Tsh 24 millions,Bado Kodi zetu sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…