Badala ya kupambana na Manabii na mitume feki, mnapambana na CHADEMA

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Siku moja nikiwa Ifakara nilikutana na kijana mmoja aliyenimbia kuwa wana kikundi chao ambacho hukodishwa na Manabii na mitume feki.

Kijana yule alinithibitishia kuwa kikundi chao hicho kazi yao kubwa ni kuwezesha "miujiza" ya Manabii au mitume hao kutendeka na kuaminika.

Baadhi ya Manabii feki kama yule aliyekuwa anajiita "Kiboko ya majini" imethibitika ni matapeli waliokubuhu ila wasio na hofu.

Maelfu ya watanzania wanaotapeliwa kwa kuuziwa michanga, sabuni, maji, vitambaa na vitu vingine vingi tu, ni zao la Manabii na mitume hao feki kudekezwa na kulindwa na CCM.

Sasa CCM badala ya kupambana kukomesha utapeli unaofanywa kilaghai na hao watu wanaojiita mitume au manabii, wenyewe wapo bize kupambana na chama kinachopambania ustawi wa jamii ya watanzania?
 
nonsense 🐒
 
Kama watanzania kwa akili zao wameshindwa kugundua kuwa manabii wote ni feki, basi hata CCM hawataweza katu!

Vitu vingine vinamwia vigumu mtu kukusaidia kama wewe mwenyewe umeshindwa. Miongoni mwa vitu hivyo ni kushindwa kutambua kuwa hakuna mungu wala shetani.

Ova!
 
Tuanze na taarifa za CAG kwanza Kisha heche? Kwann heche na siyo salumu mwalimu? Aliyekula ml 192 za chama???
Hapo Sasa. Tena tonetone yenyewe nadhani tangu waanze kuchangisha hawajawahi kufikisha kwa siku moja zaidi ya milioni 30.
 
Siku moja nikiwa Ifakara nilikutana na kijana mmoja aliyenimbia kuwa wana kikundi chao ambacho hukodishwa na Manabii na mitume feki.

Kijana yule alinithibitishia kuwa kikundi chao hicho kazi yao kubwa ni kuwezesha "miujiza" ya Manabii au mitume hao kutendeka na kuaminika.

Baadhi ya Manabii feki kama yule aliyekuwa anajiita "Kiboko ya majini" imethibitika ni matapeli waliokubuhu ila wasio na hofu.

Maelfu ya watanzania wanaotapeliwa kwa kuuziwa michanga, sabuni, maji, vitambaa na vitu vingine vingi tu, ni zao la Manabii na mitume hao feki kudekezwa na kulindwa na CCM.

Sasa CCM badala ya kupambana kukomesha utapeli unaofanywa kilaghai na hao watu wanaojiita mitume au manabii, wenyewe wapo bize kupambana na chama kinachopambania ustawi wa jamii ya watanzania?
Sasa CCM inaweza kuthibitisha vipi mahakamani kwamba mchanga ulionunua haujatenda maajabu. Ila inaweza kuthibitisha kama Pesa za Tone zimeliwa ama zimefanya kazi iliyotakiwa.
 
Pesa wanataka wengine kwa hiari Yao mpumbavu wa lumumba makalio yanamuwasha? Kwann hamhoji Yale madudu ya CAG Ili tuwwone mnawahurumia watz?
 
Siku moja nikiwa Ifakara nilikutana na kijana mmoja aliyenimbia kuwa wana kikundi chao ambacho hukodishwa na Manabii na mitume feki.

Kijana yule alinithibitishia kuwa kikundi chao hicho kazi yao kubwa ni kuwezesha "miujiza" ya Manabii au mitume hao kutendeka na kuaminika.

Baadhi ya Manabii feki kama yule aliyekuwa anajiita "Kiboko ya majini" imethibitika ni matapeli waliokubuhu ila wasio na hofu.

Maelfu ya watanzania wanaotapeliwa kwa kuuziwa michanga, sabuni, maji, vitambaa na vitu vingine vingi tu, ni zao la Manabii na mitume hao feki kudekezwa na kulindwa na CCM.

Sasa CCM badala ya kupambana kukomesha utapeli unaofanywa kilaghai na hao watu wanaojiita mitume au manabii, wenyewe wapo bize kupambana na chama kinachopambania ustawi wa jamii ya watanzania?
Hahaha
 
Sasa CCM inaweza kuthibitisha vipi mahakamani kwamba mchanga ulionunua haujatenda maajabu. Ila inaweza kuthibitisha kama Pesa za Tone zimeliwa ama zimefanya kazi iliyotakiwa.
Hela zipi za tonetone? Halafu kwa nini ithibitishe CCM?
 
Siku moja nikiwa Ifakara nilikutana na kijana mmoja aliyenimbia kuwa wana kikundi chao ambacho hukodishwa na Manabii na mitume feki.

Kijana yule alinithibitishia kuwa kikundi chao hicho kazi yao kubwa ni kuwezesha "miujiza" ya Manabii au mitume hao kutendeka na kuaminika.

Baadhi ya Manabii feki kama yule aliyekuwa anajiita "Kiboko ya majini" imethibitika ni matapeli waliokubuhu ila wasio na hofu.

Maelfu ya watanzania wanaotapeliwa kwa kuuziwa michanga, sabuni, maji, vitambaa na vitu vingine vingi tu, ni zao la Manabii na mitume hao feki kudekezwa na kulindwa na CCM.

Sasa CCM badala ya kupambana kukomesha utapeli unaofanywa kilaghai na hao watu wanaojiita mitume au manabii, wenyewe wapo bize kupambana na chama kinachopambania ustawi wa jamii ya watanzania?
Mkuu umeongea ukweli mchungu sana ambao wengi wanaogopa kuusema. Huu ni mchezo wa "nipe nikupe" kati ya CCM na hawa matapeli wa kidini.
Hawa wanaojiita manabii na mitume wamegeuka kuwa machawa wakuu wa chama tawala. Wanapewa majukwaa ya kukusanya maelfu ya wananchi maskini, wanawatapeli mchana kweupe kwa kuwauzia maji na mafuta ya upako, huku viongozi wa CCM wakijua kabisa uhalisi wa mambo. Lakini kwanini hawawagusi? Kwa sababu kwenye chaguzi, hawa manabii ndio wanatumika kuwambia waumini wao "mamlaka hutoka kwa Mungu" ili kuwakingia kifua watawala.
Chukulia mfano wa yale matamasha ya Mtume Boniface Mwamposa (Bulldozer) kule viwanja vya Tanganyika Packers, ambayo yamekuwa yakihudhuriwa hadi na viongozi wakuu wa kitaifa wa CCM na Serikali. Huu ni mfano halisi wa mbinu ya kimkakati ya kuwarubuni na kuwapumbaza wananchi. Unapompeleka Mwenyekiti wa CCM au viongozi wakuu wa nchi kuketi mbele kwenye madhabahu ya aina hiyo, unajenga taswira ya kisaikolojia kwa wananchi maskini kuwa huduma ile ina baraka zote za kiserikali na ina uhalali (legitimacy). Wananchi wanazubazwa waamini hakuna utapeli, kumbe ni geresha la kisiasa la kuwaziba macho wasihoji ukweli wa mambo.
Serikali inatumia nguvu kubwa na rasilimali nyingi za jeshi la polisi kupambana na mikutano ya CHADEMA inayotaka haki na ustawi wa jamii, lakini ikifika kwenye haya matamasha ya kurubuni wananchi na kuwanyonya kiuchumi kupitia maji na mafuta, serikali hiyo hiyo inafunga macho na kwenda kuwa wageni rasmi. Huu ni mkinzano mkubwa sana wa vipaumbele vya taifa letu!
 
Back
Top Bottom