Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
nonsense 🐒Siku moja nikiwa Ifakara nilikutana na kijana mmoja aliyenimbia kuwa wana kikundi chao ambacho hukodishwa na Manabii na mitume feki.
Kijana yule alinithibitishia kuwa kikundi chao hicho kazi yao kubwa ni kuwezesha "miujiza" ya Manabii au mitume hao kutendeka na kuaminika.
Baadhi ya Manabii feki kama yule aliyekuwa anajiita "Kiboko ya majini" imethibitika ni matapeli waliokubuhu ila wasio na hofu.
Maelfu ya watanzania wanaotapeliwa kwa kuuziwa michanga, sabuni, maji, vitambaa na vitu vingine vingi tu, ni zao la Manabii na mitume hao feki kudekezwa na kulindwa na CCM.
Sasa CCM badala ya kupambana kukomesha utapeli unaofanywa kilaghai na hao watu wanaojiita mitume au manabii, wenyewe wapo bize kupambana na chama kinachopambania ustawi wa jamii ya watanzania?
Ndiyo nini? Au ndiyo a.k.a ya Wasirra?nonsense 🐒
ni hisia mseto za kipumbavu tu za kupuuzwa gentleman 🐒Ndiyo nini? Au ndiyo a.k.a ya Wasirra?
Inasikitisha kwa kweli. Na yeye anaweza kupata shida atajikuta kadondokea kwa manga feki. Karma has no menu.Imagine muhuni kama huyu aliwahi kuwa Nabii mkubwa Tanzania!
View attachment 3635892
Kwa kweli ni Upumbavu wa hali ya juu Sana kuwaachia matapeli watapeli watanzania halafu uwe unapambana na CHADEMA.huo ni upumbavu wa kupuuzwa tu gentleman 🐒
Hapo Sasa. Tena tonetone yenyewe nadhani tangu waanze kuchangisha hawajawahi kufikisha kwa siku moja zaidi ya milioni 30.Tuanze na taarifa za CAG kwanza Kisha heche? Kwann heche na siyo salumu mwalimu? Aliyekula ml 192 za chama???
Sasa CCM inaweza kuthibitisha vipi mahakamani kwamba mchanga ulionunua haujatenda maajabu. Ila inaweza kuthibitisha kama Pesa za Tone zimeliwa ama zimefanya kazi iliyotakiwa.Siku moja nikiwa Ifakara nilikutana na kijana mmoja aliyenimbia kuwa wana kikundi chao ambacho hukodishwa na Manabii na mitume feki.
Kijana yule alinithibitishia kuwa kikundi chao hicho kazi yao kubwa ni kuwezesha "miujiza" ya Manabii au mitume hao kutendeka na kuaminika.
Baadhi ya Manabii feki kama yule aliyekuwa anajiita "Kiboko ya majini" imethibitika ni matapeli waliokubuhu ila wasio na hofu.
Maelfu ya watanzania wanaotapeliwa kwa kuuziwa michanga, sabuni, maji, vitambaa na vitu vingine vingi tu, ni zao la Manabii na mitume hao feki kudekezwa na kulindwa na CCM.
Sasa CCM badala ya kupambana kukomesha utapeli unaofanywa kilaghai na hao watu wanaojiita mitume au manabii, wenyewe wapo bize kupambana na chama kinachopambania ustawi wa jamii ya watanzania?
Pesa wanataka wengine kwa hiari Yao mpumbavu wa lumumba makalio yanamuwasha? Kwann hamhoji Yale madudu ya CAG Ili tuwwone mnawahurumia watz?Sasa CCM inaweza kuthibitisha vipi mahakamani kwamba mchanga ulionunua haujatenda maajabu. Ila inaweza kuthibitisha kama Pesa za Tone zimeliwa ama zimefanya kazi iliyotakiwa.
Kisa imetajwa ccm?nonsense 🐒
HahahaSiku moja nikiwa Ifakara nilikutana na kijana mmoja aliyenimbia kuwa wana kikundi chao ambacho hukodishwa na Manabii na mitume feki.
Kijana yule alinithibitishia kuwa kikundi chao hicho kazi yao kubwa ni kuwezesha "miujiza" ya Manabii au mitume hao kutendeka na kuaminika.
Baadhi ya Manabii feki kama yule aliyekuwa anajiita "Kiboko ya majini" imethibitika ni matapeli waliokubuhu ila wasio na hofu.
Maelfu ya watanzania wanaotapeliwa kwa kuuziwa michanga, sabuni, maji, vitambaa na vitu vingine vingi tu, ni zao la Manabii na mitume hao feki kudekezwa na kulindwa na CCM.
Sasa CCM badala ya kupambana kukomesha utapeli unaofanywa kilaghai na hao watu wanaojiita mitume au manabii, wenyewe wapo bize kupambana na chama kinachopambania ustawi wa jamii ya watanzania?
Hela zipi za tonetone? Halafu kwa nini ithibitishe CCM?Sasa CCM inaweza kuthibitisha vipi mahakamani kwamba mchanga ulionunua haujatenda maajabu. Ila inaweza kuthibitisha kama Pesa za Tone zimeliwa ama zimefanya kazi iliyotakiwa.
Andiko lako linazungumzia "CCM Kupambana na Chadema"! Remember?Hela zipi za tonetone? Halafu kwa nini ithibitishe CCM?
Wanahoji na hatua stahiki zinachukuliwa. Be informed youngman!Pesa wanataka wengine kwa hiari Yao mpumbavu wa lumumba makalio yanamuwasha? Kwann hamhoji Yale madudu ya CAG Ili tuwwone mnawahurumia watz?
Mkuu umeongea ukweli mchungu sana ambao wengi wanaogopa kuusema. Huu ni mchezo wa "nipe nikupe" kati ya CCM na hawa matapeli wa kidini.Siku moja nikiwa Ifakara nilikutana na kijana mmoja aliyenimbia kuwa wana kikundi chao ambacho hukodishwa na Manabii na mitume feki.
Kijana yule alinithibitishia kuwa kikundi chao hicho kazi yao kubwa ni kuwezesha "miujiza" ya Manabii au mitume hao kutendeka na kuaminika.
Baadhi ya Manabii feki kama yule aliyekuwa anajiita "Kiboko ya majini" imethibitika ni matapeli waliokubuhu ila wasio na hofu.
Maelfu ya watanzania wanaotapeliwa kwa kuuziwa michanga, sabuni, maji, vitambaa na vitu vingine vingi tu, ni zao la Manabii na mitume hao feki kudekezwa na kulindwa na CCM.
Sasa CCM badala ya kupambana kukomesha utapeli unaofanywa kilaghai na hao watu wanaojiita mitume au manabii, wenyewe wapo bize kupambana na chama kinachopambania ustawi wa jamii ya watanzania?
Kwani ni shilingi ngapi zimechukuliwa?Wanahoji na hatua stahiki zinachukuliwa. Be informed youngman!