FestoKaguo
Senior Member
- Apr 1, 2022
- 128
- 202
Kabla ya kusoma huu uzi naomba ufanye hivi "kaa chini na ujiulize hili swali "Je hii aina ya maisha ninayoishi naipenda?" Kama hauipendi basi inabidi utambue kuwa "UMASKINI NI MAISHA NA UTAJIRI NI UAMUZI"
Yaani hapo ulipo unamiliki simu kali na internet nzuri tu unayolipia kwa mwezi, lakini hauna hata skill moja inayokuingizia pesa, hapo jua tatizo si uchumi bali tatizo ni wewe mwenyewe!
Kitu unachotakiwa kutambua ni kwamba Dunia haitakusubiri wewe na shida zako milele kwahiyo kama wewe utanishwa kuamua nini ufanye au ujifunze siku ya leo utajikuta unabaki nyuma nyuma kama mkia milele.
Kumbuka kila mtu yupo busy na mishe zake na hakuna mtu anayemfikiria mwingine wala mtu atakayekuja kukuokoa pia note this kama umeajiriwa mshahara wa kusubiri kukinga kila mwezi kama omba omba huwa hautoshi kabisa Lazima uwe na extra skill itakayokusaidia kuanzisha side hustle yako either kwa kutengeneza digital products, kufanya affiliate marketing au ufanya freelancing.
Watu wengi unaowaona wanatengeneza pesa mtandaoni kwa kufanya kitu fulani ni kwa sababu wana SKILL, waliinvest mda huko wakajifunza na wakaanza kusaidia watu kupitia walichojifunza so hapa hakuna mambo ya kubahatisha.
View attachment 3275908
Mfano kwenye hiyo picha ni mteja kutoka Netherlands (Uholanzi) nafanya nae kazi za marketing na affiliate marketing tangu 2023.
Mtandaoni kuna kozi nyingi sana unazoweza kuzisoma ukiwa na simu na internet tu hivyo, ni suala la wewe kuchagua Niche ambayo haipo saturated sana au angalia niche unayoiweza ambayo ukisoma kozi yake unaweza ukaimudu hata kama ukiwa umebanwa na kazi za boss wako mfano
1. Jifunze kudesign kwa kutumia Canva na uanze kuuza templates zake niliandika thread yake juzi hapo
View attachment 3275909
Ukiwa na ujuzi kama Social Media Management ni mzuri kwa sababu makampuni mengi huwa yanatafuta watu wa kusimamia akaunti zao za social media kama instagram, twitter au Linkedin kwa lengo la kuongeza engagement na outreach hivyo hii skill ni nzuri sana na inaenda vizuri zaidi ukijua design kidogo hasa kwa kutumia Canva ambayo ni drag and drop tool.
Mfano mapema mwaka huu kampuni X ilinitafuta kwa ajili ya kazi ya social media management hii ni kutokana na uwezo wangu wa kupost na kuengage na watu mtandaoni.
View attachment 3275911
Niche nyingine ambayo watu wengi hawana ufahamu nayo sana ni hii niche ya Crypto & Blockchain (huku fursa bado ni nyingi sana) unaweza kuingia website kama cryptojoblist.com ukaomba kazi za non-tech za crypto i.e unaweza omba kazi kama wewe ni community manager ( community manager ni kama kuwa admin wa group la whatsapp kazi yako ni kusimamia sheria za group basi)
View attachment 3275913
Kwahiyo acha kutumia simu yako kuscroll tu TikTok na kupiga Umbea WhatsApp 🫵.
Badala yake ingia YouTube ucheki tutorials bure au unaweza kunicheki wa.me/255765772976 tukaelekezana au unaweza tumia sites za kulipia kama Udemy, Coursera, Skillshare nk
Kama hauna portfolio, hakuna mtu atakulipa. Unaweza anza kwa kufanya kazi za bure kwa watu wachache ili upate experience na referrals.
Kama ni copywriting, andika posts zako kali na zipost mtandaoni Kila siku iendayo kwa Mungu.
Kama ni graphic designer, tengeneza templates zako na wape watu bure ili uvutie wateja wengi zaidi na kupata recommendations sehemu tofauti tofauti.
Ukiona umeshindwa hutaki kufanya kazi na watanzania basi unaweza ingia kwenye site kama catchafire.org au volunteermatch.org ukafanya kazi zako na mashirika ya hisa kwa lengo la kupata uzoefu tu.
Ahsante kwa kusoma thread yangu ukitaka msaada wa kimawazo nini cha kufanya au nini cha kujifunza nina ebook nitakayokupa bure inakuelekeza njia nne za kuingiza pesa mtandaoni nicheki wa.me/255765772976 nikupatie sasa.