Fortyseven
JF-Expert Member
- Oct 30, 2020
- 1,518
- 2,834
Hivi ndugu zangu watanzania haiwezekani kwa wasomi tulionao hapa bongo au hata wa kuazima tukazibadili daladala zilizopo na magari ya serikali yatumie gesi asilia kuliko kutegemea mfereji wa Hormuz?
Au kwanini serikali isipitishe sheria kuanzia 2030 magari na daladala malori na magari ya serikali yatakayonunuliwa yawe ya umeme au gesi( kama yale ya dangote) na pia kuwa kufikia 2030 magari yaliyopo (daladala na ya serikal na malori ya mizigo) yawe yashabadilishwa muundo yatumie gesi??
Je hiki ni kitu kisichowezekana au kinawezekana??
Tanzania 1 kwa wote". @everyone