Good idea, wapunguze au waondoe kodi kuingiza magari ya umeme na chargers zake, serikali isaidie kuweka investments kwenye miundo mbinu ya kuchaji magari pia, tutapunguza sana uagizaji na matumizi ya mafuta, na mafuta ndio kitu kinagharimu Taifa fedha za kigeni kuliko kitu chochote, umeme tunaweza zalisha wenyewe na solar is getting better and cheaper na tuna jua la kufa mtu kila siku