Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Nimesikia Dada Dorothy Gwajima katangaza "School buses" ziwe na Makonda wa kike Kwa kile anachohofia watoto wetu kufanyiwa michezo michafu, sio idea mbaya ila Mimi kama mdau ningeshauri yafungwe CCTV cameras ambazo Zina uwezo wa kurekodi matukio yote.
Hawa Makonda wa kike tunawaaminije? Na tukija kupata case nyingine tutaweka Makonda Wazee??
Nashauri school bus zifungwe CCTV cameras, huyu ni shahidi mwaminifu. Iwe ni mandatory, ni nafuu sana hii mifumo na hata Mkuu wa shule anaweza ku-monitor from his/her mobile phone.
Nawasilisha