M man dunga JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 3,870 Reaction score 6,871 Jan 13, 2021 #1 Tumeshuhudia nyumba zenye thamani zikibomolewa kutokana na sababu mbalimbali. Je huko dunia ya kwanza na wao huwa wanabomoa nyumba wanapokuwa wanahitaji eneo ambalo nyumba imejengwa?
Tumeshuhudia nyumba zenye thamani zikibomolewa kutokana na sababu mbalimbali. Je huko dunia ya kwanza na wao huwa wanabomoa nyumba wanapokuwa wanahitaji eneo ambalo nyumba imejengwa?
Torque vs HP JF-Expert Member Joined Jan 7, 2021 Posts 1,768 Reaction score 5,089 Jan 13, 2021 #2 Labda zile wanazojenga kwa kutumia 3d tech.
MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 15,923 Reaction score 40,246 Jan 13, 2021 #3 Wazo fikirishi, ila ni kitu kinachowezekana, its just a matter of time. Zamani zile nyumba za tembe ilikua rahisi zaidi
Wazo fikirishi, ila ni kitu kinachowezekana, its just a matter of time. Zamani zile nyumba za tembe ilikua rahisi zaidi
M Mufti kuku The Infinity JF-Expert Member Joined Sep 21, 2019 Posts 7,310 Reaction score 13,098 Jan 13, 2021 #4 Nyumba iliyojengwa full metal(chuma) inaweza kuwa rahisi hizi nyingine sasa🤔🤔