Kuna ndugu zangu wasomi kabisa lakini walinishangaza. Nilihojo inakuwaje maji yanatoka machafu lakini wananchi hawalalamiki? Wakasema ni bora sisi tuna maji hayo machafu wenzetu hawana maji kabisa.
Wengine mnaweza msikielewe lakini hapo ndipo kuna tatizo kubwa. Hakuna sababu ya msingi ya kuwa na maji machafu uwezo na utaratibu wa kusafisha majo upo. Na ni sheria maji yanatakiwa kuwa masafi na kama sehemu hazina maji kabisa sio sababu ya kukubali maji machafu sehemu nyingine. Au mfano mwingine sehemu zenye lami iwe ya kiwango huwezi kukubali kiwango cha chini kwa kisingizio kwamba sehemu nyingine hawana lami
Badala ya watu kulalamikia uzembe wana ridhika na uzembe.