1) Kunde.... (za kupaaza) kg 1/2
2) Pilipili mboga 1/2..
3) Kitunguu maji 1/2.
4) Kitunguu saumu 1/2teaspoon
5) Chumvi kiasi....
6) Baking powder/hamira 1tablespoon
7) Mafuta ya kupikia
8) Kotmiri/giligilani
Namna ya kutaarisha
1) Loweka kunde for 4 hours
2) Weka kwenye blender ama food processor bila ya kutia maji then weka pilipili mboga,kitunguu maji, saumu na chumvi na kotmiri/giligilani
3) Tia baking powder/hamira kwenye mchanganyiko wako
4) Weka mafuta kwenye karai na ukaange badia zako kwa kutengeneza viduara vidogo vidogo
5) Kaanga hadi ziwe brown..weka moto mdogo mdogo ili ziwive vizuri ndani...
Badia tayari kwa kuliwa....