Badia za kunde

Badia za kunde

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
14,568
Reaction score
16,917
1) Kunde.... (za kupaaza) kg 1/2
2) Pilipili mboga 1/2..
3) Kitunguu maji 1/2.
4) Kitunguu saumu 1/2teaspoon
5) Chumvi kiasi....
6) Baking powder/hamira 1tablespoon
7) Mafuta ya kupikia
8) Kotmiri/giligilani
Namna ya kutaarisha

1) Loweka kunde for 4 hours
2) Weka kwenye blender ama food processor bila ya kutia maji then weka pilipili mboga,kitunguu maji, saumu na chumvi na kotmiri/giligilani
3) Tia baking powder/hamira kwenye mchanganyiko wako

4) Weka mafuta kwenye karai na ukaange badia zako kwa kutengeneza viduara vidogo vidogo
5) Kaanga hadi ziwe brown..weka moto mdogo mdogo ili ziwive vizuri ndani...

Badia tayari kwa kuliwa....
 
Badia zinapendeza zaidi na chatne....

Chatne ya embe mbichi
Mahitaji
1)embe mbichi
2)pilipili ya kusaga
3)chumvi

Kata vipande vikubwa vikubwa na ukune embe kwenye kibao cha kukunia nazi...
Au menya maembe yako na uipare kwenye kipario cha karot..
Add chumvi na pilipili...
 

Attachments

  • 1385134548645.jpg
    1385134548645.jpg
    91.9 KB · Views: 845
  • 1385134561638.jpg
    1385134561638.jpg
    7.5 KB · Views: 1,086
Ahlen WaSahLeni.... hapo sasa snacks hiyo pekee !! Lakini shosti Badia za kunde matatizo yake ina Gesi nyingi tumboni..!!!
 
Hivi ni badia au bajia!? Zipi ni tamu sana kati ya za kunde na dengu!?

Mie nnavojua ni badia... za kunde tamu zaidi BAK...kwa chatne ya nazi au hiyo ya embe mbichi weee utamu hadi machoni lol...
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa sijui kama kuna za kunde pia, lakini nilishawahi kula mahali zilikuwa tamu kuliko kawaida nadhani ndiyo hizo za kunde, mimi49 nawe unazijua kwa jina la badia au bajia?

Mi napenda za kunde...za dengu sometime naona zinakuwa na donge/nyama katikati zinanichusha!
]
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom