Badilisha mtazamo wangu kama si kweli : Wafanyabiashara wengi wanapofilisika hugeukia ujambazi, utapeli na kafara ili kupata mitaji.

Badilisha mtazamo wangu kama si kweli : Wafanyabiashara wengi wanapofilisika hugeukia ujambazi, utapeli na kafara ili kupata mitaji.

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Yaani mfanyabiashara akishaonja mafanikio ya kufikia hatua flani ni ngumu sana kukubali kushuka hasa pale anapofilisika ama biashara kwenda kombo.

Ni ngumu sana kumwambia aanze kuchoma mishkaki, Never !

Kwa hali hii navyoona hapa wengi inabidi wageukie hata ujambazi na utapeli au hata kafara
 
Back
Top Bottom