Bado ananitesa alaf sipend kuachana nae

Bado ananitesa alaf sipend kuachana nae

lover

New Member
Joined
Dec 13, 2011
Posts
4
Reaction score
1
hivi kwanini mtu unapendwa alaf unakua na pozi? namis meseji zake, namis kis zake, namis kilakitu,najua kama ananipenda lakin kwa nn ananitesa sana
 
hivi anayekupenda atakutesa?

THis is a valid question. Inawezekana anapima maji. Kama na wewe unampenda, na unadhani huwezi kumwacha, why do not you go and tell him/her ukweli wa moyo wako? Ila una hatari ya kuwa mtumwa wa mapenzi, utandeshwa kama gari bovu.

Huwa naamini kuwa love ni give and take: sasa zikianza pause tena!
 
Mapenzi yenu hayana uwiano....sometimes its better to be single rather than been in relationship then your not happy.
 
THis is a valid question. Inawezekana anapima maji. Kama na wewe unampenda, na unadhani huwezi kumwacha, why do not you go and tell him/her ukweli wa moyo wako? Ila una hatari ya kuwa mtumwa wa mapenzi, utandeshwa kama gari bovu.

Huwa naamini kuwa love ni give and take: sasa zikianza pause tena!
hapo ss mmh. hakunaga.
 
Poleee,ndo mapenz yalivyo,ukiona hivyo hakupendi,anaekupenda hatokutesa.
 
THis is a valid question. Inawezekana anapima maji. Kama na wewe unampenda, na unadhani huwezi kumwacha, why do not you go and tell him/her ukweli wa moyo wako? Ila una hatari ya kuwa mtumwa wa mapenzi, utandeshwa kama gari bovu.

Huwa naamini kuwa love ni give and take: sasa zikianza pause tena!

usikute huyu Lover ndo kapenda, mwenzie hana hisia kihivyo kwa hiyo akikaa kimya lover ndo anaumia, au hapati response anayotaka kutokana na kutofautiana hisia. Wakati lover kafa kaoza kimapenzi kwa huyo dada/kaka muhusika waaapiii hana hata moja, au muhusika kakubali kuwa na lover kwa maslahi fulani....

kama ulivyosema bora amueleze hisia zake na vile anavyopenda iwe, amuulize mwenzie kama anahisia nae, then akubali kusuka au kunyoa.....
 
ukiona hivyo ndugu ujue umeingia choo cha kike kama wewe ni mwanaume au choo cha kiume kama wewe ni mwanamke, wewe kama una mpenda sio lazima yeye akupende, hamna forumula hiyo! so inawezekana wewe unampenda lakini yeye amefall kwa mtu mwingine na kwa kuwa bado hajampata ndo mana anapass time na wewe...
kila siku nasema kama tungekuwa na macho ya ziada ya kuona ndani ya moyo wa mtu basi hii migogoro yote isingekuwapo maana tungefanya uchaguzi sahihi...shida ni kuwa huwa hatujui kile kinachoendelea katika mioyo ya wenziwetu.. siku hizi watu ni waigizaji wazuri, mtu anaweza akawa nae anakupetpet na kukufanya ujione malaika au mfalme kumbe anakusanifu tu...
 
naombeni mnishaur nimbadilishe,maana kama ni hivyo nitaachana na wengi.yani apa najuta kupenda,i wish kama angekua humu hazisome hizi msg zangu.Maana hata nikijalibu ku mface anakua mkali yani kama hajui tatizo linalonisibu
 
hivi kwanini mtu unapendwa alaf unakua na pozi? namis meseji zake, namis kis zake, namis kilakitu,najua kama ananipenda lakin kwa nn ananitesa sana

.....nawe anza kumtesa haraka sana wala usimkawize.
 
naombeni mnishaur nimbadilishe,maana kama ni hivyo nitaachana na wengi.yani apa najuta kupenda,i wish kama angekua humu hazisome hizi msg zangu.Maana hata nikijalibu ku mface anakua mkali yani kama hajui tatizo linalonisibu
akitaka kubadilika atabadilika but kumbadilisha mtu ni vigumu endapo yeye mwenyewe ataki kubadilika. tafuta pengine mana true love ina safari ndefu, milima na mabonde.
 
hivi kwanini mtu unapendwa alaf unakua na pozi? namis meseji zake, namis kis zake, namis kilakitu,najua kama ananipenda lakin kwa nn ananitesa sana

Utakuwa umesha chuja kwake tayari
 
naombeni mnishaur nimbadilishe,maana kama ni hivyo nitaachana na wengi.yani apa najuta kupenda,i wish kama angekua humu hazisome hizi msg zangu.Maana hata nikijalibu ku mface anakua mkali yani kama hajui tatizo linalonisibu

how old are you.?wewe ni me au ke?
 
Poleeee jamaani...unatia huruma kwakweli.Kama kashakupa kisses ukazipenda mpaka unazimiss,then akakutumia sms za mahaba ukazipenda mpaka unazimiss..na kama haitoshi kashakupa KILA KITU chake then ukapenda mpaka kuvimiss..then ghafla mchuno..hapo ujue aidha anacheza na hisia zako au hajaridhika nawe....au ana mahusiano na mtu mwingine.. TAFAKARI KISHA UCHUKUE HATUA!!
 
kuwa na subira labda ipo siku atabadilika....ila ingekuwa mimi ningeshaangalia uelekeo mwingine
 
Back
Top Bottom