Bado ananitesa alaf sipend kuachana nae

Bado ananitesa alaf sipend kuachana nae

Pole sana mwana inaonekana kakuona wewe zuzu. Ningekuwa mm akila pause one wk mm mwezi mmoja.
 
Dah! Pole best hata mimi wangu ananfanyia hivyo coz nahis labda kwa kuwa nmejionyesha kwake nampenda sana.ila yeye wa kwangu hapend wa2 wajue kwamba 2ko in love,hv kwel ananpenda?
 
Dah! Pole best hata mimi wangu ananfanyia hivyo coz nahis labda kwa kuwa nmejionyesha kwake nampenda sana.ila yeye wa kwangu hapend wa2 wajue kwamba 2ko in love,hv kwel ananpenda?

Khaaa ! Hivi kumbe mapenzi yanawachanganya kiasi hiki mbona mm hakuna ishu kama hizo.
 
naombeni mnishaur nimbadilishe,maana kama ni hivyo nitaachana na wengi.yani apa najuta kupenda,i wish kama angekua humu hazisome hizi msg zangu.Maana hata nikijalibu ku mface anakua mkali yani kama hajui tatizo linalonisibu

pole....sepa fasta ndugu,hapo umependa usipopendeka
 
Nimekuwa interesting na hii mada ingawaje ni ya jana.Kwa kuwa unaomba ushauriwe seriously basi nakupa ushauri uliokomaa vibaya sana.
Huyo mtu hakupendi(asingekutesa)hakuna uhusiano kati ya kupenda/kupendwa na kuleta pozi au kumtesa mwenziwako.Cha kufanya WEWE MPUUZE KWENYE KICHWA CHAKO NA USIWE UNAMFUATILIA.Ukifanya hivyo unalegeza makali ya maumivu ya anayokufanyia,pili inakupa furhsa ya kutafakari maisha ya mahusiano kwa kina huku ukijitengenezea mazingra ya kupenda ama kupendwa na mwingne ama pengine yeye huyo huyo kujirudi mwenyewe.
 
Ukidemand sana love sometime hupati be at easy, relax ,wacha wasiwasi bora uwe alone kuliko haya mapenzi ya kishamba.mtu anaona raha ww unavyoteseka kwaajili yake.JITAMBUE tumia akili achana na hayo mahisia,pima upendo wake kwako.
 
Back
Top Bottom