Ok9
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 4,549
- 4,133
Baada ya kampeni za wapinzan kudai kutoa elim na kupunguza makali ya maisha.... serikal ya CCM imekuja na hoja ya kutoa elim bure mwakan..... hapo wamelenga nini?
1.je wanajua watatoka wawaachie upinzan mzigo ?
2. Je n kwann hawakufanya awali angal ilkuwa n moja ya maazimio yao ?
3. Au wameona ni swala gumu....so n bora waweke kwenye awamu ijayo ili watakaochukua nchi wakishindwa ku manage Wapate pa kutokea tena..?.
Binafs n swala zur lkn kimekuja na limewekwa ki mtego