Bado Hamuuoni Mwisho Wa Diamond?

Kushuka kwa kuavo wa tandale mpaka aje msanii mwenye nyota kumpita yeye na awe na mashiko kwenye kazi zake sio Mmakonde wala marioo na sio tu mziki mzuri pia Mziki unahitaji kafara kibao usichokijua wewe, Muangalie Burna boy na mitindo yake ya kuvaa sketi na nguo za ajabu hawavaitu ilimradi kunakitu chini ya kapeti Muangalie Asake na video zake za kishetani..kwahio unapo pima kushuka kwa msanii angalia level yake kwanza ndo maana Jay z mpaka sasa yupo on the top uko US na wakali kibao wapo lakini hakuna wakuifikia thamani yake. Diamond yupo sana kwenye Game ukitoa ushabiki vinginevyo ajitokeze wa kutetea crown[emoji146]. Mf miaka ya nyuma mpaka ivi karibuni kwenye Bongo Hip hop kaibuka msanii ambe watu wakuwahi kufikilia wa kumlisi FidQ anaitwa Dizasta ata ukimuuliza fid mwenyewe anakuabaliana na hilo hivyo hvyo na kwa Diamond atokee anaejua awe na kismat, Awe educated na awe na connection Kubwa ikiwezekana awe ame sell soul devil [emoji49] Lakn kama ni hawa waliopo saizi mtasubili sana niamini mim.[emoji38]
 
Sasa Dizasta si tunamjua wa humuhumu mtandaoni
 
Deeply
 
Diamond wa miaka sita nyuma sio huyu wa SASA, nyimbo zimejaa matusi tu, sisi wazee hatuwezi sikiliza au kutazama video zake na watoto. Ni kweli anapata pesa ila nyimbo zake hazina maisha Wala maadili. Hebu sikiliza nyimbo zake za huko nyuma utazipenda . Nyimbo kama vile mbagala, nimpende nani, kesho, baila nataka kuolewa ,Kuna wimbo ambao Christani Bella aliurudia n.k nyimbo ambazo zinaishi mpaka leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…