SoC03 Bado hujachelewa anza sasa

SoC03 Bado hujachelewa anza sasa

Stories of Change - 2023 Competition
Joined
May 30, 2023
Posts
9
Reaction score
15
katika ulimwengu wa sasa mtu anapofika umri wa miaka 30 nakuedelea uwa ujiwekea ukomo wa kufanya jambo farani ata liwe na manufaa makubwa.

Uwa anakuambia umri ushaenda au kwa sasa siwezi nikaazisha biashaaa hii nikafanikiwa nitakuwa napoteza ela zangu mafao yangu.

Wanajisaahu kuwa hamasa ya kweli na mafanikio dhabiti ya naazia kutoka moyoni, hata wale wanaotumia vilevi au madawa ya kulevya bangi sigara huwa wanasema kuwa siwezi kuacha kitu hiki.

Wanasahau kuwa kile kitu anacho king'ang'ania kinamletea madhara gani katika afya yake na mwili wake kiujumla mana akuna kitu ambacho utafanikiwa kukiacha au kufanya kama wewe ushajiwekea moyoni kuwa kitu fani siwezi kukiacha au siwezi kukifanya ata walimu wakufundishe usiku na mchana kanwe utoweza nisawa na kutwangwa maji kwenye kinu,

unapoitaji kufanya kitu.
Chochote katika dunia hii na kukuletea matokeo chanya jiamini kuwa na msimamo wa jambo lako unaloitaji kulifanya usiwe mtu wakusikiliza maneno ya watu yatakukatisha tamaa ,nakukufanya ushindwe kutimiza malengo uliya panda.

Baadhi ya watu awapendi kuona mtu anafika mbali katika jambo flani wengi wao watakukatisha tamaa nakusema autoweza kulifanya na atakupa mifano kabisa kuwa kuna rafiki yangu, ndugu yangu, mdogo wangu nk kuwa alijalribu kufanya hicho unachotaka kufanya wewe nakuangukia pua pila kupata mafanikio yoyote na Mwishowe amepata hasara tu akuna faida yoyote.

Bila kufikilia kuwa yeye aliye kuwa anafanya hiyo biashara alikuwa anaiendesha vipi mana je alikuwa anajitoa na kuwa mbunifu au anafanya bora liende unakuta mtu anafanya biashara ila inapo kuja changamoto katika kitu anacho kifanya anashindwa kufikilia kuwa nifanye nini kutatua shida inayo nikabili.

usikatishwe tamaa na vitu vidogo vidogo au kwakuwa flani kasema kuwa hii biashara ngumu kwahiyo ata mimi hitanishinda upaswi kuwa mtu wa namna hii chukua zile changamoto zilizo mfanya yeye akaswindwa akaona kuwa alikosea kuazisha hiyo biashara.

Usikubali kuhidumaza akili yako kwa kusema kwakuwa yeye kijana ameshindwa mimi mzee nitawezea wapi ,hapo utakuwa unafunga pigu mwenyewe na kujiweka gelezani pasipo kujuwa kuwa unafelesha malengo yako nakujiona mtu usiyeweza kuishangaza jamii .

Unapo itaji mafanikio makubwa au maendeleo katika jamii inayo kuzunguka unatakiwa kujipa thamani wewe mwenyewe nakujikubali kuwa unaweza nikafanya kitu flani nifanikiwa au kitaniinua kutoka hapa nilipo nakwenda mbali zaidi kimaendeleo , akuna mtu atakaye tokea kukuunga mkono kama wewe mwenyewe ujikubari pia nakujipa imani kuwa nitafika napo tarajia .

Hakuna tajiri aliye weza kufanikiwa kama angekuwa anasema kuwa kwa wakati huu siwezi kufanya jambo fani au siwezi kuafanya biashara flani kwa kuwa nitapoteza ela zangu bila mafanikio yoyote , unapoitaji kufanya kitu aza kwaza kukipenda na kujitole kwa hudi na uvumba amini utafanikiwa na akuna aliye fanikiwa bila kukabiliana na changamoto zinazotokea kwenye eneo usika unabaswa kubapamba nakusema mm naweza nikafanya biashara hii ndani ya mda huu na ikanletea mafanikio makubwa

Siku zote uwezi kuwa na mafanikio yoyote bila ya kujitoa na kwa hali na mali nakusimamia misingi sahihi ya kile unachokiendesha nakutumia vikwazo kama njia ya kukufikisha katika malengo uliyo ya tarajia nakuandika histotiya mpya kwenye maisha yako na wengine wakafata njia yako nao.wakafanikiwa wewe ukawa mkombozi katika jamii husika.

Hakuna aliye fanikiwa bila kushindwa na akuna mafanikio bila kujaribu yapaswa uvumilivu na utulivu wa hali ya juu ilikufikia malengo nakuwa funga midomo walio sema kuwa autoweza nakuwafungua akili wale walioshindwa nakujutia kwanini waliwekeza pesa zao kwenye biashara iliyo waingizia hasara.


Chakufanya jali masilai yako na kesho yako usifatike maneno ya mtu kama hana msaada kwako.
 
Upvote 2
katika ulimwengu wa sasa mtu anapofika umri wa miaka 30 nakuedelea uwa ujiwekea ukomo wa kufanya jambo farani ata liwe na manufaa makubwa.

Uwa anakuambia umri ushaenda au kwa sasa siwezi nikaazisha biashaaa hii nikafanikiwa nitakuwa napoteza ela zangu mafao yangu.

Wanajisaahu kuwa hamasa ya kweli na mafanikio dhabiti ya naazia kutoka moyoni, hata wale wanaotumia vilevi au madawa ya kulevya bangi sigara huwa wanasema kuwa siwezi kuacha kitu hiki.

Wanasahau kuwa kile kitu anacho king'ang'a kinamletea madhara gani katika afya yake na mwili wake kiujumla mana akuna kitu ambacho utafanikiwa kukiacha au kufanya kama wewe ushajiwekea moyoni wako kuwa kitu fani siwezi kukiacha au siwezi kukifanya ata walimu wakufundishwa au madactari bigwa kufanyiwa kazi. na kutwangwa maji kwenye kinu,

unapoitaji kufanya kitu.
Chochote katika dunia hii na kukuletea matokeo chanya jiamini pia jikubari amini utashinda,

Na kuwa mtumwenye mafanikio makubwa mambo yakufanya unapoa amka wewe jipe imani kuwa mimi ni Mshindi wakati wote nawe utashinda naakuna mafanikio yanayokuja kwa kusema kesho nitafanya au kesho nitaacha miadahati utakuwa unajidanganya.

usiseme kesho naacha sema hivi leo naazisha baiashara leo naacha miadahati amini utafika mbali kila jambo unalolitakaa likuletee matokeo chanya kama biashara atapenda nakama kuwacha miadahati atakua kuchukia hutaji na utumiaji daima utafika mbali katika mafanikio yako.

usikatishwe na vitu vidogo vidogo au changamoto flani wewe weka akuna kutimiza malengo yako kwa changamoto na akuna changamoto bila changamoto hivyo yapaswa kujitoa muanga mahitaji simama imara amini utashinda.

Usikubari kuhidumaza akili yako kwa kusema siwezi kufungua biashara kwa kuwa umri ulisha kwenda au nikifanya biashara ya jamii inayozunguka itanichuliaj, ukiwa mtu wa namna hii daima uwezi kuwa na maendeleo.

Chakufanya jali masilai yako na kesho yako usifatiche maneno ya mtu kama hana msaada kwako.
Braza andiko lako halijafikia maneno 700, fanya kuongezea ili walifikirie
 
Back
Top Bottom