Bado hujaona vyote duniani wewe

Bado hujaona vyote duniani wewe

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mshana hawa jamaa,wataanza kukusaka unajua.[emoji28][emoji28][emoji28]
Hii ni rescue Helicopter aina ya H225M Super Cougar inauwezo wa kubeba Wanajeshi au kikosi cha waokoaji wasiopungua 28 na kubeba mizigo ya uzito wa 4,750kg na speed ya angalau 324 km/h.
Kwa nini ilimbeba Waziri Mkuu jana kwenda Bukoba badala ya kubeba Wataalam sote atujui[emoji24].
Na pia ingeweza kuiinua ndege upande wa nyuma na watu wakatolewa kwa wakatiyaani kwa msaada wa maji hii helcopter ingeweza kuiinua ndege walau kwa kiwango fulani then watu watolewe kwa ule upande wa nyuma ambao tayari ulikua uko juu na mlango unaonekana
20221108_112153.jpg
 
Hizo sentence tatu za mwisho zinanifanya nione ile sinema yetu inaendelea, rip kwa waliofariki ila why walikua wamepakizwa kwenye Ambulance [emoji603]?,hii sio gari ya kubeba abiria, na DC wangu Mr. Batenga(mmmmm wale wa matofali ya President Nyerere?)kuwa hakuna bahati mbaya hapo, head on collision [emoji95] kuna dereva alihama kutoka upande wake na kuendesha asikoruhusiwa, why usiseme kama ilivyo?,,golden rule ya udereva Tanzania, PLS KEEP LEFT
Agapiti Kimaro na Catherine Mathei ambao ni mke na mume ni miongoni mwa waliofariki katika ajali iliyotokea wilaya ya Kiteto Mkoani Manyara, wanandoa hao mume alikuwa mwalimu na mke alikuwa nesi na wameacha mtoto miezi 8
20221108_112541.jpg
 
Watu sita ambao ni watumishi wa serikali ya wilaya ya kiteto Mkoani Manyara Idara ya afya na elimu wamefariki kwa ajali baada ya gari waliyokuwa wamepanda kugongana na gari nyingine aina ya Prado katika eneo la Pori namba moja Kata ya Partimbo Kiteto Mkoani Manyara
20221108_133043.jpg
 
Mpeni heshima na mtaji wa kukuza kazi zake.

Heshima itunze ndoto yake.

Naona kama mnampeleka speed sana shujaa wetu.

Atakuja sema YES kwa vitu alivyo takiwa kusema NO
Mkuu Mshana Jr umeongea point moja ya maana sana, ila wasiokuelewa hawawezi kukuelewa kamwe

Wangempa nafasi aseme yeye anahitaji nini sio kumpangia kitu ambacho huenda yeye mwenyewe hakihitaji,
 
Hii ni rescue Helicopter aina ya H225M Super Cougar inauwezo wa kubeba Wanajeshi au kikosi cha waokoaji wasiopungua 28 na kubeba mizigo ya uzito wa 4,750kg na speed ya angalau 324 km/h.
Kwa nini ilimbeba Waziri Mkuu jana kwenda Bukoba badala ya kubeba Wataalam sote atujui[emoji24].
Na pia ingeweza kuiinua ndege upande wa nyuma na watu wakatolewa kwa wakatiyaani kwa msaada wa maji hii helcopter ingeweza kuiinua ndege walau kwa kiwango fulani then watu watolewe kwa ule upande wa nyuma ambao tayari ulikua uko juu na mlango unaonekanaView attachment 2410171
Ilikuwa inanamsubiri pm akashuhudie vifo.
 
Baada ya Ibada pale uwanja wa Kaitaba kuisha na ndege kufika Nchi kavu.Wajuba sasa wanatinga kazini
20221109_051648.jpg
 
Kenyata aliwahi kumwambia Nyerere anaongoza maiti lakini yeye anaongoza binadamu waliolala wakiamka wataleta balaa. Na Nyerere hakukataa ukweli huo.[emoji3064]
20221109_171809.jpg
 
Back
Top Bottom