Mohamedex121
JF-Expert Member
- Jan 27, 2022
- 1,725
- 3,271
Tatizo la afya ya akili ni kubwa sanaMancity 1-2 Chelsea
Brentford 3-2 Mancity
Brighton 2-2 Mancity
Nottingham 1-4 Asernal
Asernal 4-0 wolves
Asernal 87 points
Mancity 86 points
Hizi sasa ni Akili ka za Simba ya Tanzania...anyway mtakufa kiume [emoji1787][emoji1787][emoji24]Mancity 1-2 Chelsea
Brentford 3-2 Mancity
Brighton 2-2 Mancity
Nottingham 1-4 Asernal
Asernal 4-0 wolves
Asernal 87 points
Mancity 86 points
Wewe ndio mwenye matatizo ya akili hivi unadhani ligi imeishaTatizo la afya ya akili ni kubwa sana
Ligi bado mbichi mkuu na matumaini ya asernal kuchukuwa ubingwa msimu huu yapo angalia utabiri wangu utakuja kunishukuruHizi sasa ni Akili ka za Simba ya Tanzania...anyway mtakufa kiume [emoji1787][emoji1787][emoji24]
Amka amka amka ,ndoto za mchana but mbaya sana, utakojoa kitandaniMancity 1-2 Chelsea
Brentford 3-2 Mancity
Brighton 2-2 Mancity
Nottingham 1-4 Asernal
Asernal 4-0 wolves
Asernal 87 points
Mancity 86 points
Asernal winner [emoji471]
#INAWEZEKANA
Amna sio ndoto ni unabii lazima utimie.Amka amka amka ,ndoto za mchana but mbaya sana, utakojoa kitandani
Mbona unakata tamaa mapema mwana asernal mwenzangu?? Ligi bado haijaisha matumaini ya ubingwa badoUsitupe moyo mkuu tushakubali yaishe City bingwa vijana walipambana sana imeshindikana.Kwa hizi siku za karibuni hakuna iliyokuwa ngumu kama ya jana maumivu yalikuwa makali siyo poa ila ndiyo mpira hakuna namna.
Atapoteza tu huyo subiri utabiri wangu utimie utakuja kuleta ushuhudaaisee man city hana mechi anapoteza.
Tuendelee kuimbea ArsenalMbona unakata tamaa mapema mwana asernal mwenzangu?? Ligi bado haijaisha matumaini ya ubingwa bado
Man City kutoshinda ubingwa itakua maajabu ya dunia haiwezekani kamwe,ni uzembe wetu kudondosha points kijinga kabisa msimu ulikuwa wetu kabisa huu!!!Mbona unakata tamaa mapema mwana asernal mwenzangu?? Ligi bado haijaisha matumaini ya ubingwa bado
Dua nyingi tu Mkuu nazipiga hapaTuendelee kuimbea Arsenal
Yeah ni uzembe hata man city pia wanao hivo kwahizo mechi zilizobaki lolote linaweza kutokeaMan City kutoshinda ubingwa itakua maajabu ya dunia haiwezekani kamwe,ni uzembe wetu kudondosha points kijinga kabisa msimu ulikuwa wetu kabisa huu!!!
Kimahesabu inawezekana lakini ki uhalisia BIG NO!COZ CITY WAMEZOEA PRESSURE ZA UBINGWA ARSENAL HAZIWEZI!!Mancity 1-2 Chelsea
Brentford 3-2 Mancity
Brighton 2-2 Mancity
Nottingham 1-4 Asernal
Asernal 4-0 wolves
Asernal 87 points
Mancity 86 points
Asernal winner [emoji471]
#INAWEZEKANA