Bado inawezekana Arsenal kubeba ubingwa wa EPL msimu huu wazee

Bado inawezekana Arsenal kubeba ubingwa wa EPL msimu huu wazee

Mancity 1-2 Chelsea
Brentford 3-2 Mancity
Brighton 2-2 Mancity

Nottingham 1-4 Asernal
Asernal 4-0 wolves

Asernal 87 points
Mancity 86 points
Hizi sasa ni Akili ka za Simba ya Tanzania...anyway mtakufa kiume [emoji1787][emoji1787][emoji24]
 
Mancity 1-2 Chelsea
Brentford 3-2 Mancity
Brighton 2-2 Mancity

Nottingham 1-4 Asernal
Asernal 4-0 wolves

Asernal 87 points
Mancity 86 points

Asernal winner [emoji471]
#INAWEZEKANA
Amka amka amka ,ndoto za mchana but mbaya sana, utakojoa kitandani
 
Nakumbuka wakati kabla Yanga hajacheza na Singida kuna jamaa aliweka hivi
Singida 0-1 Yanga
Yanga 1-1 Dodoma jiji
Mbeya city 1-1 Yanga
Prisons 1-0 Yanga
Halafu
NAMUNGO 0-2 Simba
Simba 5-0 Ruvu shooting
Simba 4-1 Polisi Tz
Simba 5-0 Coastal union
SIMBA points 75 bingwa
YANGA Points 73
MI nikamwambia jibu JEPESI tu ni rahisi simba kushinda mechi zote zilizobaki ila ni ngumu Yanga kupoteza mechi mbili mfululizo
Na wewe wa arsenal nakujibu ni rahisi arsenal KUSHINDA mechi zote mbili zilizobaki ila ni ngumu man city kupoteza mechi mbili mfululizo
 
Usitupe moyo mkuu tushakubali yaishe City bingwa vijana walipambana sana imeshindikana.Kwa hizi siku za karibuni hakuna iliyokuwa ngumu kama ya jana maumivu yalikuwa makali siyo poa ila ndiyo mpira hakuna namna.
 
Mbona unakata tamaa mapema mwana asernal mwenzangu?? Ligi bado haijaisha matumaini ya ubingwa bado
 
Mbona unakata tamaa mapema mwana asernal mwenzangu?? Ligi bado haijaisha matumaini ya ubingwa bado
Man City kutoshinda ubingwa itakua maajabu ya dunia haiwezekani kamwe,ni uzembe wetu kudondosha points kijinga kabisa msimu ulikuwa wetu kabisa huu!!!
 
Man City kutoshinda ubingwa itakua maajabu ya dunia haiwezekani kamwe,ni uzembe wetu kudondosha points kijinga kabisa msimu ulikuwa wetu kabisa huu!!!
Yeah ni uzembe hata man city pia wanao hivo kwahizo mechi zilizobaki lolote linaweza kutokea
 
Mancity 1-2 Chelsea
Brentford 3-2 Mancity
Brighton 2-2 Mancity

Nottingham 1-4 Asernal
Asernal 4-0 wolves

Asernal 87 points
Mancity 86 points

Asernal winner [emoji471]
#INAWEZEKANA
Kimahesabu inawezekana lakini ki uhalisia BIG NO!COZ CITY WAMEZOEA PRESSURE ZA UBINGWA ARSENAL HAZIWEZI!!
 
Back
Top Bottom