The Brazilian
Member
- May 12, 2023
- 73
- 113
Wana THIMBA wana lunyasi wamehamia mitaa ya london uingereza kushabikia asenalMancity 1-2 Chelsea
Brentford 3-2 Mancity
Brighton 2-2 Mancity
Nottingham 1-4 Asernal
Asernal 4-0 wolves
Asernal 87 points
Mancity 86 points
Asernal winner [emoji471]
#INAWEZEKANA
Hii ni football mkuu lolote linaweza kutokea. Hasa kwa chelsea na brighton wanaweza kumchallenge man city asiambulie hata point moja kumba hii ni football na sio historia ya timu au kochaUkimruhusu Guardiola akae kileleni hata kwa gap la point moja tu na hata kama mechi zimebaki 20, we hesabu maumivu tu. Yule mwamba anajua anachokifanya.
Amna ni unabii tu mkuu lazima utimie huu ni mwaka wetu wana asernal toka mwanzo wa ligi nuru ya ubingwa ilikuwa kwetu iweje leo hii tuikose. Hapana naimani bado Mungu atatupiganiautakuwa unauchukua mpira nakwenda kuifunga man city ausiyo
Au samba litapigwa uwanjani
Asernal atashinda mechi zake ila kwa man city lazima ataambulia patupu mechi dhidi ya chelsea na benfrod ila kwa brighton atatoa sare huu ni unabii na nilazima utimieUkisikia kila mtu ashinde mechi zake ndio huku sasa
Hii ni football Mzee lolote linaweza kutokea na huu ni unabii lazima utimieKimahesabu inawezekana lakini ki uhalisia BIG NO!COZ CITY WAMEZOEA PRESSURE ZA UBINGWA ARSENAL HAZIWEZI!!
Alishindwa vipi kushinda mechi alizofungwa aje ashinde hizi zilizobakiAsernal atashinda mechi zake ila kwa man city lazima ataambulia patupu mechi dhidi ya chelsea na benfrod ila kwa brighton atatoa sare huu ni unabii na nilazima utimie