Bado inawezekana Arsenal kubeba ubingwa wa EPL msimu huu wazee

Bado inawezekana Arsenal kubeba ubingwa wa EPL msimu huu wazee

utakuwa unauchukua mpira nakwenda kuifunga man city ausiyo

Au samba litapigwa uwanjani
 
Ukimruhusu Guardiola akae kileleni hata kwa gap la point moja tu na hata kama mechi zimebaki 20, we hesabu maumivu tu. Yule mwamba anajua anachokifanya.
 
Mancity 1-2 Chelsea
Brentford 3-2 Mancity
Brighton 2-2 Mancity

Nottingham 1-4 Asernal
Asernal 4-0 wolves

Asernal 87 points
Mancity 86 points

Asernal winner [emoji471]
#INAWEZEKANA
Wana THIMBA wana lunyasi wamehamia mitaa ya london uingereza kushabikia asenal
 
Ukimruhusu Guardiola akae kileleni hata kwa gap la point moja tu na hata kama mechi zimebaki 20, we hesabu maumivu tu. Yule mwamba anajua anachokifanya.
Hii ni football mkuu lolote linaweza kutokea. Hasa kwa chelsea na brighton wanaweza kumchallenge man city asiambulie hata point moja kumba hii ni football na sio historia ya timu au kocha
 
utakuwa unauchukua mpira nakwenda kuifunga man city ausiyo

Au samba litapigwa uwanjani
Amna ni unabii tu mkuu lazima utimie huu ni mwaka wetu wana asernal toka mwanzo wa ligi nuru ya ubingwa ilikuwa kwetu iweje leo hii tuikose. Hapana naimani bado Mungu atatupigania
 
Ukisikia kila mtu ashinde mechi zake ndio huku sasa
Asernal atashinda mechi zake ila kwa man city lazima ataambulia patupu mechi dhidi ya chelsea na benfrod ila kwa brighton atatoa sare huu ni unabii na nilazima utimie
 
Asernal atashinda mechi zake ila kwa man city lazima ataambulia patupu mechi dhidi ya chelsea na benfrod ila kwa brighton atatoa sare huu ni unabii na nilazima utimie
Alishindwa vipi kushinda mechi alizofungwa aje ashinde hizi zilizobaki
Cha muhimu ni kukaa kufurahia mpira na kusubiri tokeo thats it
 
Bado tunanafasi, nafasi haipo hadi pale city atangaze ubingwa, kuwe hakuna namna yoyote ya kuzifikia points zake. Ila kama sivyo bado nafasi tunayo The Gunners.
 
Back
Top Bottom