Bado kuna watu wanapost nyuzi za Simba SC humu?

dvj nasmiletz

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2018
Posts
2,079
Reaction score
2,254
Mods mpo wapi..
_Timu haina mfungaji bora
_Timu haijachukua ubingwa
_Timu haina kocha wa kueleweka
_Timu haina si ii o
_Timu imetuingiza hasara kucheza mechi za nyingi bila faida..tanesco mtawajibishwa
_Timu ina skendo za uchawi kila kona(mnawanga mpka mchana tena mbele za mashabiki)
_Timu haina kipa wa kueleweka (clean sheet chache kulingana na mechi alivocheza
 
Chuo cha kuzalisha wajinga kinafanya kazi sana huko Yanga wajinga mnaongezeka kwa kasi sana
 
CEO wa Simba kaenda wapi, au yuko likizo?
 


_Timu imetuingiza hasara kucheza mechi za nyingi bila faida..[emoji23][emoji23]
 
Unaposema timu haina mfungaji bora unamaanisha nini? Kwani George Mpole ni mchezaji wa timu gani!

Unataka kusema mashabiki wa simba wanamshabikia mchezaji ambaye siyo wa timu yao! Yaani wamewatelekeza wafungaji bora wao akina John Bocco, Meddie Kagere na Kibu Denis, na kuhamia kwa George Mpole!
 
GEORGE MPOLE FC
 
Watasema na kufanya mazuri, lakini ikifikia habari ya football Sheikh, kule hakuna mwenye akili isipokuwa watu wawili tu; baba yangu mzee Sunday na Mh. JK basi.
(Source: Haji S. Manara)

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Vp mbna umepandisha mashetani???
 
Huyu mwamba wa kushoto anazidi kuwatibulia, mchezaji wa pili anawazidi ujanja Makolo.

Naona dirisha hili usajili anausimamia mwenyewe Yusuph Bakheresa.
 
Huuu ni utopolo. Bila kuiongelea Simba hakuna habari si kwa wachambuzi au magazeti yanakosa soko. Simba ni kuuuuuuubwaaaaa
 
Hawa Makolo wanaiabisha sana JF yetu kwanza waondoke humu hawastahili kuwepo huu Mtandao wa Mabingwa tu na wenye akili timamu dadeq zao
 
Umeandika ujinga mtupu halafu verified user
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…