Bado kuna watu wanapost nyuzi za Simba SC humu?

Bado kuna watu wanapost nyuzi za Simba SC humu?

Yaani yanga wanaumia simba kufurahia George mpole kuwa mfungaji bora wakati wao wanalala airport kupokea wageni wala simba haijawahi kuwakataza au kuwaongelea vibaya yanga kweli akili zao ndogo.
 
Back
Top Bottom