Bado kunashida katika Serikali

Bado kunashida katika Serikali

Dj Aiman

Member
Joined
Dec 21, 2022
Posts
23
Reaction score
15
Ukipanda bodaboda halafu ukaona dereva ana story wewe jisemehe kwa nguvu "HII SERIKALI YETU" Kisha kaa kimya.
Hapo ndo utajua kuwa mmbongo mpe kichwa tu habari anayo.
 
Unaweza pia sema "Yani mahusiano ya siku hizi"
Screenshot_20230104-140016~2.png
 
Back
Top Bottom