Bado Kupita TAZARA FLY OVER

Natamani ndege(faster jet,airdubai) ziwezinapiga luti g/mboto-posta.,chanika-buguruni
 
Kwakweli hata mimi mishe now haziendi vyema,lakini katu sitamani atokee tena mfano wa Mzee msoga.
mhini pchungu hata madeni yamesitishwa kulipwa.......hata arusi chungu......hata guest zimedoda
 
We jamaa mbona unapenda kuwaumiza moyo majirani zetu wa kaskazini???
Anyway's hebu tuache utani, hiyo Super highway Dar to Chalinze mradi utaanza lini?
Hehehe mkuu Wao waumie tu ila baada ya bajeti kupitishwa mambo yana anza
 
mhini pchungu hata madeni yamesitishwa kulipwa.......hata arusi chungu......hata guest zimedoda
Yani true mkuu kwanza ukitaka kujiandaa kwenda katika miangaiko yako mtu unaskia ganzi,lakini wallah sitamani aje tena mtu wa aina ile alitung'ong'a kwa kutupa uhuru na fursa zenye manufaa ya kusadikika huku yeye na jopo lake wakila vya maana na jeuri juu.WALLAH SITAMANI.
 
Natamani siku naenda nyumbani moshi niende kwa treni ya high speed kwa reli ya SGR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…