Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani kupita Dar-Chalinze 6lane+5Fly over
Sumu ya panya itakusaidia!Nataman kufa
Hehehe mkuu Wao waumie tu ila baada ya bajeti kupitishwa mambo yana anzaWe jamaa mbona unapenda kuwaumiza moyo majirani zetu wa kaskazini???
Anyway's hebu tuache utani, hiyo Super highway Dar to Chalinze mradi utaanza lini?
Siyo bhange, hujasikia tozo za Daraja jipya la kigamboni?bhangi hizi
Yani true mkuu kwanza ukitaka kujiandaa kwenda katika miangaiko yako mtu unaskia ganzi,lakini wallah sitamani aje tena mtu wa aina ile alitung'ong'a kwa kutupa uhuru na fursa zenye manufaa ya kusadikika huku yeye na jopo lake wakila vya maana na jeuri juu.WALLAH SITAMANI.mhini pchungu hata madeni yamesitishwa kulipwa.......hata arusi chungu......hata guest zimedoda
[emoji45] [emoji45] [emoji45]Natamani tupate Rais mwingine kama kikwete ili biashara zangu zirudi katika hali yake ya siku zote
Ivi imefikia wapi mkuu maboreshoNatamani ni-drive spidi 180 kwenye highway ya arusha-namanga
Hebu tudodose kinachoendeleanatamani kupita barabara ya arusha~moshi mpaka taveta holili kenya 4 lines