Bado Kupita TAZARA FLY OVER

Bado Kupita TAZARA FLY OVER

Haa haa sihami nchi lazima tutafika huko tuu soon ni swala la mda. Kama wameweza kutuwekea barabara za lami mpaka kibosho vijijini huko hawatashindwa
kuna SR kenya tayari h
 
Natamani ndege za Makufuli zije nipande kwenda mkoa kwa bei poa.
 
kuna SR kenya tayari h
Naridhika na cha nchi yangu mkuu wale nyang'au soon tutawapita [emoji573] nauombea huu uongozi uwe mathubuti. Ni mabosho makubwa tuu yanahitajika mana kama njia ya reli ipo so ni kuziboreha iwe ya kisasa zaid mkuu
 
natamani walimu walipwe 2mil na madokta walipwe laki 3
 
Back
Top Bottom