Bado masaa 48 kufungwa dirisha, nchi haijatetemeka

Bado masaa 48 kufungwa dirisha, nchi haijatetemeka

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Yaonyesha kuna ugumu wa kupata wachezaji wazuri dirisha dogo.

Hawa wasemaji wetu wa timu hizi kubwa wameanza kutamba hata kabla dirisha kufunguliwa kwa maneno ya kuvutia na kutisha kuelekea usajiri kwa mbwembwe zote,kua'nchi inaenda kusimama,nchi inaenda kutikisika nk

Lakini hadi sasa tumeona vilabu vidogo vikifanya sajiri zao kimya kimya na kiasi zaonyesha kuwabeba kwani timu zao zimeonyesha kupiga hatua kiasi

Hongera Singida, hongera Azam.
Haya kuelekea jumamosi tetesi za mwisho mwisho zinasemaje waungwana? Tujuzane.
 
Hili ndiyo tatizo la kutokuwa na mipango ya muda mfupi na mipango ya muda mrefu kwa vilabu vyetu vikongwe.
-Mipango ya muda mrefu ni kuandaa vijana wa kikosi cha pili, ambao wanaweza kupandishwa daraja, siku za usoni.
-Mipango ya muda mfupi ni kuwa timu ya scouting yenye weledi wa kuona vipaji vya wachezaji wa nje klabu na uwezo mkubwa wa kushawishi na kuingia mikataba yenye tija kwa klabu.
-Kukosekana kwa mipango ya muda mfupi na muda mrefu,husababisha vilabu hivi kusajili wachezaji kwa mihemko na mfumo wa zima Moto ili kuwafurahisha washabiki na wanachama wao
-Mashabiki na wanachama wanaotaka kusikia au kuona wachezaji wapya wanasajiliwa klabuni kwao hata kama hawahitajiki.
-Lakini ukiangalia kuna baadhi ya vilabu vina wachezaji wazuri na wanaweza kuunda hata vikosi viwili bora na wachezaji wote wako timamu,hakuna majeruhi.
-Uhalisia kuna matatizo ya makocha wetu, hawana mbinu na weledi wa kuwabadilisha wachezaji kuingia kwenye mifumo yao na wanatumia kisingizio cha mapungufu ya baadhi ya wachezaji kulinda ajira zao.
-Kuna beki tatu( pro ) wa timu moja karibu afukuzwe, lakini sasa hivi amepata match fitness na kuelewa falsafsa ya kocha wake, na amekuwa tegemeo la klabu na kipenzi cha mashibiki.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mnasajili wachezaji bila kuwafanyia skauti na kuwafutili viwango vyao ,huku hamu washirikishi madaktari kuwacheki afya zao matokeo yake leo Bigirmana, Okwa,Kambole, Akpan wanadai hela ndefu mpaka club hazijui zitawalipa vipi.
 
Mnasajili wachezaji bila kuwafanyia skauti na kuwafutili viwango vyao ,huku hamu washirikishi madaktari kuwacheki afya zao matokeo yake leo Bigirmana, Okwa,Kambole, Akpan wanadai hela ndefu mpaka club hazijui zitawalipa vipi.
Ila nitawashangaa Yanga kama watampa mkataba Kambole! Kwa kile kiwango alichokionesha kule Zanzibar, aisee apumzike tu.
 
Nilitegemea Simba Ili wafike Angalau Nusu failani ya CAF.
Lazima uachane na wachezaji wafuatao.

Nelson Okwa.
Victor Akpan.
Sadio Kanute.
Mohamed Ottara.
Peter Nada.
Okra.

Wachezaji wa Nyumbani.

KIBU Denis.
Habib Kyombo.
Erasto Nyoni.
John Boko. Na
Gadiel Michael.

Hawa wachezaji Kwa sasa hawana Hadhi ya kuwa Simba.
Hawawezi kufika Nusu Fainali.
 
Nilitegemea Simba Ili wafike Angalau Nusu failani ya CAF.
Lazima uachane na wachezaji wafuatao.

Nelson Okwa.
Victor Akpan.
Sadio Kanute.
Mohamed Ottara.
Peter Nada.
Okra.

Wachezaji wa Nyumbani.

KIBU Denis.
Habib Kyombo.
Erasto Nyoni.
John Boko. Na
Gadiel Michael.

Hawa wachezaji Kwa sasa hawana Hadhi ya kuwa Simba.
Hawawezi kufika Nusu Fainali.
Hiyo pesa ya kuwalipa kwa kuwavinjia mikataba hao wachezaji wote zinatoka wapi?
 
Nilitegemea Simba Ili wafike Angalau Nusu failani ya CAF.
Lazima uachane na wachezaji wafuatao.

Nelson Okwa.
Victor Akpan.
Sadio Kanute.
Mohamed Ottara.
Peter Nada.
Okra.

Wachezaji wa Nyumbani.

KIBU Denis.
Habib Kyombo.
Erasto Nyoni.
John Boko. Na
Gadiel Michael.

Hawa wachezaji Kwa sasa hawana Hadhi ya kuwa Simba.
Hawawezi kufika Nusu Fainali.
Peter Banda, Okra na Kanoute sioni tatizo lao
 
Back
Top Bottom