ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Yaonyesha kuna ugumu wa kupata wachezaji wazuri dirisha dogo.
Hawa wasemaji wetu wa timu hizi kubwa wameanza kutamba hata kabla dirisha kufunguliwa kwa maneno ya kuvutia na kutisha kuelekea usajiri kwa mbwembwe zote,kua'nchi inaenda kusimama,nchi inaenda kutikisika nk
Lakini hadi sasa tumeona vilabu vidogo vikifanya sajiri zao kimya kimya na kiasi zaonyesha kuwabeba kwani timu zao zimeonyesha kupiga hatua kiasi
Hongera Singida, hongera Azam.
Haya kuelekea jumamosi tetesi za mwisho mwisho zinasemaje waungwana? Tujuzane.