Bado masaa machache kufungwa dirisha la maombi ajira za Ualimu, hongereni sana wale mtakaojaliwa kupata

kelvin900

Member
Joined
Jan 16, 2021
Posts
24
Reaction score
35
Hatimaye leo usiku sa 2359 dirisha la maombi linafungwa, jamani aminini ya kwamba riziki anapanga Mungu wa Mbinguni, mtakaopata nawapongeza sana pia mtakaokosa msikate tamaa (japo mimi sijui nitakua upande gani) ila nawaombea kwa Mungu wale wote mnaopitia magumu Mungu awasaidieni jamani.

Wale mtakaokosa msikate tamaa maana Mungu atakuwa amewapangia siku nyingine, kikubwa ni kuendelea kupambana.

MBARIKIWE SANA
 
Amina Mtumishi...[emoji3525]
 
Back
Top Bottom