Maombi ya nini bwashee?
Ajira za TamisemiMaombi ya nini..??
Kwahiyo siku hizi ualimu umekuwa dili.YA AJIRA ZA UALIMU MKUU
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Tuliambiwa ualimu wanaenda waliofeli,lakini ss waliofeli ndio wanakula maisha .[emoji23][emoji23]
Hadi kuna raia siyo walimu lakini wameomba ilimradi kuleta Jam tu kudadekiTuliambiwa ualimu wanaenda waliofeli,lakini ss waliofeli ndio wanakula maisha .ππ
Kama boda boda,machinga na mama ntilie?Tuliambiwa ualimu wanaenda waliofeli,lakini ss waliofeli ndio wanakula maisha .[emoji23][emoji23]
Hiki kitu kinaniudhi sana, upumbavu sana.Hadi kuna raia siyo walimu lakini wameomba ilimradi kuleta Jam tu kudadeki
Amina Mtumishi...[emoji3525]Hatimaye leo usiku sa 2359 dirisha la maombi linafungwa, jamani aminini ya kwamba riziki anapanga Mungu wa Mbinguni, mtakaopata nawapongeza sana pia mtakaokosa msikate tamaa (japo mimi sijui nitakua upande gani) ila nawaombea kwa Mungu wale wote mnaopitia magumu Mungu awasaidieni jamani.
Wale mtakaokosa msikate tamaa maana Mungu atakuwa amewapangia siku nyingine, kikubwa ni kuendelea kupambana.
MBARIKIWE SANA