Bado mnaendelea kushupaza shingo kuwa Fabrice Ngoma ndiyo namba 6 iliyotekwa pale Airport?

Bado mnaendelea kushupaza shingo kuwa Fabrice Ngoma ndiyo namba 6 iliyotekwa pale Airport?

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Ally kamwe : "Kama wanasema Kuna mchezaji kapotea airport na wamemchukua hongera kwao Ila wanachi wasubiri furaha Tena furaha kubwa"

Eng Hers "waandishi wa Habari mnaposikia tetesi Kama hizo za kupotea /kutekwa mchezaji wa Yanga muwe mnatutafuta sisi (viongozi) msipotezwe na upepo wa tetesi ambazo hata sisi hatujui"

Maoni yangu: mashabiki wa Simba sc wanatumia nguvu kubwa kujitekenya halafu wanacheka wenyewe.

Wanadhani kwamba wakipush agenda Kama hizo viongozi wa Yanga sc watajitokeza mbele ya vyombo vya habari na kuropoka wachezaji waliosajiliwa ndani ya Yanga Sc.

Hongera sana viongozi wa Yanga sc kwa kuonesha ukomavu na Siri ya hali juu na kuacha wachambuzi wa mchongo wapoteane na propaganda za Micky jr.

Tukutane Ikulu ya Malawi.
 
Mtaje wewe kama unamjua,na huyo wa asec mimosac tunabeba juu kwa juu
 
Back
Top Bottom