Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Upeo wako umeishia hapo broo endelea kuamini hayo unayojua wewe mengine storage yako ndogo ukilazimisha unaweza kia chiziHayawi hayawi yanakuja kuwa.
Zimebaki siku tatu tu siku ya siku kuwadia.
Wachache wetu tuliwaambia kuwa mnajipa matumaini hewa tu.
JWTZ kamwe haliwezi kuipindua serikali ya CCM kwa sababu:
1. JWTZ ni majuha. Ni vilaza wa kutupwa.
Hakuna lolote wanalolielewa kuhusu mambo yanayoendelea nchini. Hawajui chochote kuhusu ubovu wa katiba, utawala mbovu, n.k.
Mfano wa ujuha wa JWTZ: kuna siku nilimuuliza afisa mmoja wa hilo jeshi kuhusu aircraft carriers. Nikamwuliza Tanzania tunazo ngapi? Akasema ‘blaza’ hizo zipo kwenye maeneo yote ya mipakani mwa nchi 😂😂.
Nilimwuliza hilo swali kwa sababu alikuwa anazisifia sana silaha za jeshi. Alikuwa anadai JWTZ ina silaha hatari sana.
Mimi nikajaribu ku reason naye kwa kumwuliza kuhusu bajeti yetu ya ulinzi, kuhusu silaha zinazotengenezwa Tanzania kwa kutumia viwanda na wataalamu wa Kitanzania, na kadhalika.
Badala ya kunijibu maswali yangu, ambayo sidhani kama aliyaelewa, yeye akawa anazungumzia uhatari wa silaha walizonazo [ambazo ni za kizamani].
Dunia inakoelekea sasa hivi binadamu watakuwa hawaendi vitani tena. Yatakuwa maroboti huko kwenye medani za kivita. Madege yasiyo na rubani, nyambizi zisizo na wanamaji, ufyatuzi wa makombora yanayoweza kufika popote pale duniani na yakapiga shabaha kwa usahihi wa hali ya juu, na kadhalika.
Sasa unaweza kusema, ‘Ngabu, huyo ni mtu mmoja tu umeongea naye kuhusu hayo mambo yanayoendelea nchini kijeshi. Wote hawako hivyo’.
Ni kweli kabisa. Wote hawako hivyo. Huyo niliyeongea naye ndo mwenye nafuu. Hao wengine hata kuongea nao mambo ya maana haiwezekani.
2. Hao wachache waliobaki wenye ‘below average IQ’, wameshaonjeshwa asali ya ufisadi.
Hawawezi kufanya wala kusema chochote. Hawawezi wakaukata mkono unaowalisha.
Bila ya kuwa jeshini, hawana uwezo mwingine wowote ule ambao ungewapa fursa ya kushamiri.
3. Kwa kuzingatia hayo niliyoyasema kwenye 1 na 2, nadhani naweza kusema kwa uhakika mkubwa kabisa kuwa sisi hatuna jeshi la wananchi.
Lililopo ni jeshi la kulinda maslahi ya viongozi wa CCM na serikali yao.
Hivyo, kutegemea msaada kutoka kwenye jeshi la kulinda na kutetea maslahi ya CCM, ni kupotoka.
Huo ndo ukweli, hata kama ni mchungu kuukubali.
Btw, Kapteni Tesha kaja akapita tu kama upepo na akapotea mazima 😂.
Au bado mna matumaini kuwa atarudi?
Inawezekana kosa likawa kwako, hukumuelewesha maana ya Missile launchers 😂Mi nilimuuliza mwanajeshi mmoja je tunazo Missile launchers za kisasa?
Akajibu blaza hizo ndo silaha ambazo kila mwanajeshi anaingia nazo lindo
Nimeishia hapo kusoma1. JWTZ ni majuha. Ni vilaza wa kutupwa.
😂😂Mi nilimuuliza mwanajeshi mmoja je tunazo Missile launchers za kisasa?
Akajibu blaza hizo ndo silaha ambazo kila mwanajeshi anaingia nazo lindo
Kwa hio tunaingia road kuuwasha moto au tunanunua uoga?Ila sometimes inakatisha moyo kuona eti na wanajeshi nao wanaogopa kama sisi.
Ile press release yao ya kuunga mkono jeshi la polisi ilinikata stimu zote kabisa.
Lakini bado nawapa benefit of doubt wanaweza kuja na kam baki dakika za jioni.
Good.Nimeishia hapo kusoma
Umesema ni majuha ni vilaza?Good.
Sema wewe jamaa huwa reasoning yako ni very looow.Hayawi hayawi yanakuja kuwa.
Zimebaki siku tatu tu siku ya siku kuwadia.
Wachache wetu tuliwaambia kuwa mnajipa matumaini hewa tu.
JWTZ kamwe haliwezi kuipindua serikali ya CCM kwa sababu:
1. JWTZ ni majuha. Ni vilaza wa kutupwa.
Hakuna lolote wanalolielewa kuhusu mambo yanayoendelea nchini. Hawajui chochote kuhusu ubovu wa katiba, utawala mbovu, n.k.
Mfano wa ujuha wa JWTZ: kuna siku nilimuuliza afisa mmoja wa hilo jeshi kuhusu aircraft carriers. Nikamwuliza Tanzania tunazo ngapi? Akasema ‘blaza’ hizo zipo kwenye maeneo yote ya mipakani mwa nchi 😂😂.
Nilimwuliza hilo swali kwa sababu alikuwa anazisifia sana silaha za jeshi. Alikuwa anadai JWTZ ina silaha hatari sana.
Mimi nikajaribu ku reason naye kwa kumwuliza kuhusu bajeti yetu ya ulinzi, kuhusu silaha zinazotengenezwa Tanzania kwa kutumia viwanda na wataalamu wa Kitanzania, na kadhalika.
Badala ya kunijibu maswali yangu, ambayo sidhani kama aliyaelewa, yeye akawa anazungumzia uhatari wa silaha walizonazo [ambazo ni za kizamani].
Dunia inakoelekea sasa hivi binadamu watakuwa hawaendi vitani tena. Yatakuwa maroboti huko kwenye medani za kivita. Madege yasiyo na rubani, nyambizi zisizo na wanamaji, ufyatuzi wa makombora yanayoweza kufika popote pale duniani na yakapiga shabaha kwa usahihi wa hali ya juu, na kadhalika.
Sasa unaweza kusema, ‘Ngabu, huyo ni mtu mmoja tu umeongea naye kuhusu hayo mambo yanayoendelea nchini kijeshi. Wote hawako hivyo’.
Ni kweli kabisa. Wote hawako hivyo. Huyo niliyeongea naye ndo mwenye nafuu. Hao wengine hata kuongea nao mambo ya maana haiwezekani.
2. Hao wachache waliobaki wenye ‘below average IQ’, wameshaonjeshwa asali ya ufisadi.
Hawawezi kufanya wala kusema chochote. Hawawezi wakaukata mkono unaowalisha.
Bila ya kuwa jeshini, hawana uwezo mwingine wowote ule ambao ungewapa fursa ya kushamiri.
3. Kwa kuzingatia hayo niliyoyasema kwenye 1 na 2, nadhani naweza kusema kwa uhakika mkubwa kabisa kuwa sisi hatuna jeshi la wananchi.
Lililopo ni jeshi la kulinda maslahi ya viongozi wa CCM na serikali yao.
Hivyo, kutegemea msaada kutoka kwenye jeshi la kulinda na kutetea maslahi ya CCM, ni kupotoka.
Huo ndo ukweli, hata kama ni mchungu kuukubali.
Btw, Kapteni Tesha kaja akapita tu kama upepo na akapotea mazima 😂.
Au bado mna matumaini kuwa atarudi?
Na ni hivyo hivyo mnavyo wazungumzia waTanzania kwa ujumla wao!Au bado mna matumaini kuwa atarudi?