Bado na haso

Umasikini ni fedheha sn ww fikiria ndio mkubwa katika family lakini maamuzi ya family hushilikishwi sababu tu huna kitu ww unashtukia madogo washakaa kikao utekelezaji umeanza
Hii kitu Ni mbaya Sana mkuu, ndugu zako wadogo wataulizwa kwa heshima wanatumia kinywaji gani I'll wewe utapewa tu stoney bila kuulizwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…