Bado na Ndoto ya kwenda kuishi Canada

Bado na Ndoto ya kwenda kuishi Canada

Wadau habari za jamvini mimi naomba msaada kwa yoyote mwenye imani ambaye anaweza kunipa tips za kwenda Canada kupambana uko kimaisha kama hauna lolote unalojua kaa pembeni subiri ujadili mengine
Nenda google utapata tips zote
 
All the best mkuu, hakikisha unafikia ndoto yako, usikatishwe tamaa na watoto wanaoishi bado na mashemeji zao, la muhimu jiandae kisaikolojia yaani kichwa kiwe tayari kwa challenges zote utakazokumbana nazo, fanya basic requirements kama passport, few usd, air ticket na UJASIRI ,good luck na ukifika jichanganye na wapopo kuliko wabongo!,just kidding
 
Bora ajichanganye na wacongo,west African wote nuksi wanaweza kukuingiza kwenye matatizo
 
Back
Top Bottom