Bado najiuliza juu ya mchezaji Benard Morrison

bila shaka mpira huujui, mchezaji ubora wake hauonekani kwenye kufunga tu, bali hata kutengenezea wenzake wafunge.
Nb: acha kusikiliza mpira kwa njia ya radio, next time tazama mpira kwa njia ya video.
Mkuu bila shaka ww unaangalia mpira wa bongo tu (VPL)
 
Mkuu bila shaka ww unaangalia mpira wa bongo tu (VPL)
umekariri, siyo kila kiungo mshambuliaji/winga lazima afunge.
ndio mana unaona lamini moro anafunga ila Tuisila kisinda anapuyanga tu.
 
umekariri, siyo kila kiungo mshambuliaji/winga lazima afunge.
ndio mana unaona lamini moro anafunga ila Tuisila kisinda anapuyanga tu.

Logic yangu haipo kwenye kufunga magoli mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…