KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
- Thread starter
- #21
Mkuu bila shaka ww unaangalia mpira wa bongo tu (VPL)bila shaka mpira huujui, mchezaji ubora wake hauonekani kwenye kufunga tu, bali hata kutengenezea wenzake wafunge.
Nb: acha kusikiliza mpira kwa njia ya radio, next time tazama mpira kwa njia ya video.