Bado najiuliza, uchaguzi tumefanya kwanini?

Jiwe amejiongezea ulinzi, shuhudia siku ya kuapishwa ndipo utaelewa alivyo muoga
 
Mimi nasubiri kuona hilo bunge nani atakua anambishia nani.
 

Hata Kikwete mlimlaumu kaiba.... Leo unamuona mwombezi.... ngumu kuwaelewa
 
Tunasubiri kuiona Tanzania ikiwa kama Ulaya baada ya miaka mitano.
 
Tumefanya uchaguzi kwa sababu sisi ni despotic banana republic.
 
Tumefanya uchaguzi kwa sababu sisi ni despotic banana republic.
Ivi Kama Magufuli akikubali kuachia madaraka 2025 tume ya uchaguzi ambayo itatumika ni hii hii au atachagua wengne kabla ya kuondoka au utaratibu huwa ukoje?
 
Kuna watu ngumu sana kuwaelewa. Bado najiuliza mbwa mwitu mgonjwa akimzidi mbio swalaa mwenye afya zake bdo ty watapatikana watu wa kusema swala kadhulumiwa
 
Ule wimbo wa Stamina.....


Na kura tulipiga za nini...?

Na kidole tulichovya cha nini...?

Tuliosafiri tulisafiri kwa nini....?

Na mikutano tulienda ya nini...?
 
Mkuu huo ndio mtindo wa Fisiemu wa kujenga umoja na upendo wetu.
Ukiona walio wengi wameshapuuza upigaji kura huku wahusika wakiwa hawashtushwi na hilo tambua tuna tatizo lililojificha.
Hawakujifunza uchaguzi sm hawawezi elewa uchaguzi mkuu.
 
Ccm inapendwa sana na wananchi
 
Piga spana
 
Ushahidi tu mkuu! Lakini tayari tushajua uelekeo.
 
Tuna kiongozi toka burudi
 
Kwani mlikuwa mnategemea nini?

Sisi wengine tumekuwa tukiwaambia kuwa hakuna haja ya kushiriki hiyo ‘charade’, lakini tunaishia kudhihakiwa tu.

Subirini 2025 mshiriki tena kuipa uhalali CCM.
Halafu what next?

Utakuwepo barabarani wakipigwa?
 
And guess what....

Kama vyama vikubwa vya kisiasa vingesusia, hiyo idadi ya wapiga kura ingeweza kushuka zaidi na kuifanya CCM ionekane ni kituko tu mbele ya jamii na hata jumuia ya kimataifa!

Sasa hivi hao wapinzani hawana uhalali wa kulalamika.
Jamii ya kimataifa wanasaidia nini? Sijawahi shuhudia kokote msaada wa jumuiya ya kimataifa ikisaidia.
Bashir amekamatwa juzi baada ya watu wa kwake kumtoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…