Bado nakuja kwenu wanaJF kuomba elimu; Nini' Vigezo vya Star wa movie za mapigano?

Bado nakuja kwenu wanaJF kuomba elimu; Nini' Vigezo vya Star wa movie za mapigano?

Dr wa Manesi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2024
Posts
6,479
Reaction score
4,974
Je,
1. Ni ujuzi wa kupigana?!!! Kwahiyo mnataka kuniambia Angelina Jolie anapiga hatari, sio?!!!
2. Muonekano?
3. Utajiri
Au nini'?!!!

Msaada tafadhali.
 
Back
Top Bottom