Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
OkKila jambo linaanza kwa hatua mastaa wengi walianza kama beginners kisha ustaa ukaja.
Sasa watu mliochanganyikiwa namna hii nchi hii mtaipeleka wapi?!!Inaitwa kula Kwa urefu wa kamba ya mtu.
Fika darajani Busisi ujionee:
"Ama hakika watu wanakula kwa marefu ya kamba zao."
View attachment 3318943
Tlaatlaah, Lucasi mama anatosha, mitano mingine!
Sasa watu mliochanganyikiwa namna hii nchi hii mtaipeleka wapi?!!
motoniSasa watu mliochanganyikiwa namna hii nchi hii mtaipeleka wapi?!!