MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,255
- 8,027
Mpaka sasa bado sioni sababu ya kunishawishi kua Magufuli hataongeza Muda wa kukaa madarakani zaidi ya miaka 10 endapo atachaguliwa. Haya hawezi kuyaweka wazi yeye kama yeye binafsi Magufuli.Hili vuguvugu litaanzishwa wa watu watakaojiunga "Makada wa CCM".
Dalili ziko wazi na zinathibutishwa na kauli za aliyekua spika wa bunge lililopita la awamu ya 5 ndugu Job ndugai kwa kuwaambia wambunge waliokua wakipenda kuona Magufuli anaendelea, aliwaambia wasubiri baada ya uchaguzi na alikua na uhakika wote watarudi.
Kauli ya spika ambaye ndiyo mkuu wa Muhimili wa bunge na chombo cha mwisho kufanya maamuzi ya nchi. Huyu Ndungai anajua kabisa kua CCM itakua na Wabunge wengi kwahiyo suala la kuamua Magufuli aendelee zaidi ya miaka kumi liko mikononi mwao.
Nani atakayenibishia katika hili?
Ndugu Watanzania wenzangu, huu ni mtego mkubwa sana kwetu kuliingiza taifa kwenye mgogoro mkubwa wa kisiasa. Tuwe makini sana kwenye uchaguzi huu, bora kuinyima CCM kura kabisa kwenye viti vyote ili pendo lako la uovu lisitimie. Hii engua engua ya wagombea inasukumwa na hii dhamira.
Hofu hii itusukume kufanya maamuzi sahihi kwenye uchaguzi huu. CCM kwa sasa Mungu hayupo na hawajali kabisa.