Yani mwaka 2024 itakuwa vurugu kubwa ccm asili na ccm wapya halafu Kuna wale ccm wamekaa tuu watasema na sisi tuchukue Mali zetu.. Watu watapelekana jela sanaWe wasikilize tu CCM kisha wapotezee. Ni wanafiki wa kufa mtu. Walichotaka ni kuona namna ya kupita ili wagombee huko majimboni tu. Hii awamu yake ya pili watampuuza kinoma maana na wao kila mtu anautaka huo urais. Subiri uone kama kuna hata atakayesema lolote badala yake utaona wakijipendekeza kuutaka Urais.
Wahutu ni watu wa hovyo sana.Kama kuna mtu atabadili katiba kwa njaa njaa zake na tamaa za madaraka anavunja utaratibu aliotuachia mwalimu, Tutakula naye sahani moja. Waanzilishi wa mgogoro dunia itawajua
Mpaka sasa bado sioni sababu ya kunishawishi kua Magufuli hataongeza Muda wa kukaa madarakani zaidi ya miaka 10 endapo atachaguliwa.Haya hawezi kuyaweka wazi yeye kama yeye binafsi Magufuli.Hili vuguvugu litaanzishwa wa watu watakaojiunga "Makada wa ccm".
Dalili ziko wazi na zinathibutishwa na kauli za aliyekua spika wa bunge lililopita la awamu ya 5 ndugu Job ndugai kwa kuwaambia wambunge waliokua wakipenda kuona Magufuli anaendelea, aliwaambia wasubiri baada ya uchaguzi na alikua na uhakika wote watarudi.
Kauli ya spika ambaye ndiyo mkuu wa Muhimili wa bunge na chombo cha mwisho kufanya maamuzi ya nchi. Huyu Ndungai anajua kabisa kua CCM itakua na Wabunge wengi kwahiyo suala la kuamua Magufuli aendelee zaidi ya miaka kumi liko mikononi mwao.
Nani atakayenibishia katika hili?
Ndugu Watanzania wenzangu, huu ni mtego mkubwa sana kwetu kuliingiza taifa kwenye mgogoro mkubwa wa kisiasa.
Tuwe makini sana kwenye uchaguzi huu, bora kuinyima ccm kura kabisa kwenye viti vyote ili pendo lako la uovu lisitimie.
Hii engua engua ya wagombea inasukumwa na hii dhamira.
Hofu hii itusukume kufanya maamuzi sahihi kwenye uchaguzi huu. CCM kwa sasa Mungu hayupo na hawajali kabisa.
Sawa kabisa tuwaengue ccm la sivyo magu atatawala mpka 2030.Mpaka sasa bado sioni sababu ya kunishawishi kua Magufuli hataongeza Muda wa kukaa madarakani zaidi ya miaka 10 endapo atachaguliwa.Haya hawezi kuyaweka wazi yeye kama yeye binafsi Magufuli.Hili vuguvugu litaanzishwa wa watu watakaojiunga "Makada wa ccm".
Dalili ziko wazi na zinathibutishwa na kauli za aliyekua spika wa bunge lililopita la awamu ya 5 ndugu Job ndugai kwa kuwaambia wambunge waliokua wakipenda kuona Magufuli anaendelea, aliwaambia wasubiri baada ya uchaguzi na alikua na uhakika wote watarudi.
Kauli ya spika ambaye ndiyo mkuu wa Muhimili wa bunge na chombo cha mwisho kufanya maamuzi ya nchi. Huyu Ndungai anajua kabisa kua CCM itakua na Wabunge wengi kwahiyo suala la kuamua Magufuli aendelee zaidi ya miaka kumi liko mikononi mwao.
Nani atakayenibishia katika hili?
Ndugu Watanzania wenzangu, huu ni mtego mkubwa sana kwetu kuliingiza taifa kwenye mgogoro mkubwa wa kisiasa.
Tuwe makini sana kwenye uchaguzi huu, bora kuinyima ccm kura kabisa kwenye viti vyote ili pendo lako la uovu lisitimie.
Hii engua engua ya wagombea inasukumwa na hii dhamira.
Hofu hii itusukume kufanya maamuzi sahihi kwenye uchaguzi huu. CCM kwa sasa Mungu hayupo na hawajali kabisa.
Tanzania ni ya watanzania. Ni sisi watanzania tunaamua tujiongoze namna gani tena kwa kukubaliana kwa taratibu zilizopo. Tuna katiba tuna sheria tuna kanuni na miongozo mbalimbali tuliyokubaliana watanzania wote tuitumie kujiongoza. Sasa mleta mada wasiwasi wako unatoka wapi? Tanzania siyo nchi ya Malkia wala Mfalume, Tanzania ni ya watanzania. Usisahau kuwa Tanzania ni kubwa.Hii engua engua ya wagombea inasukumwa na hii dhamira.
Kwanza tukikosea tu kumpa uraisi ataua wote anaohisi hawampendi na hawamuungi mkonoMpaka sasa bado sioni sababu ya kunishawishi kua Magufuli hataongeza Muda wa kukaa madarakani zaidi ya miaka 10 endapo atachaguliwa.Haya hawezi kuyaweka wazi yeye kama yeye binafsi Magufuli.Hili vuguvugu litaanzishwa wa watu watakaojiunga "Makada wa ccm".
Dalili ziko wazi na zinathibutishwa na kauli za aliyekua spika wa bunge lililopita la awamu ya 5 ndugu Job ndugai kwa kuwaambia wambunge waliokua wakipenda kuona Magufuli anaendelea, aliwaambia wasubiri baada ya uchaguzi na alikua na uhakika wote watarudi.
Kauli ya spika ambaye ndiyo mkuu wa Muhimili wa bunge na chombo cha mwisho kufanya maamuzi ya nchi. Huyu Ndungai anajua kabisa kua CCM itakua na Wabunge wengi kwahiyo suala la kuamua Magufuli aendelee zaidi ya miaka kumi liko mikononi mwao.
Nani atakayenibishia katika hili?
Ndugu Watanzania wenzangu, huu ni mtego mkubwa sana kwetu kuliingiza taifa kwenye mgogoro mkubwa wa kisiasa.
Tuwe makini sana kwenye uchaguzi huu, bora kuinyima ccm kura kabisa kwenye viti vyote ili pendo lako la uovu lisitimie.
Hii engua engua ya wagombea inasukumwa na hii dhamira.
Hofu hii itusukume kufanya maamuzi sahihi kwenye uchaguzi huu. CCM kwa sasa Mungu hayupo na hawajali kabisa.
NAUNGA MKONO HOJA HASA KWENYE HILI LA MAKAMPENI MENEJA KUJ IVUNA MBELE YA MAGUFULI KUWA CHAMA CHAO TAYARI KINA MTAJI KWA MAANA YA WALE WALIO PITA BILA KUPINGWA... NA KWA KAULI HIZI NI DHAHIRI WANATWAMBIA KWA VITENDO KWAMBA ULIKUWAMPANGO WAO MAKHUSUSI KUUVURUGA UCHAGUZI HUU NA KWA HILI TUNAPASWA TUKALIKATAE KWA NGUVU ZOOTE 28/10/2020...Hofu hii itusukume kufanya maamuzi sahihi kwenye uchaguzi huu. CCM kwa sasa Mungu hayupo na hawajali kabisa.
Naunga mkono hoja kwa kishindoNAUNGA MKONO HOJA HASA KWENYE HILI LA MAKAMPENI MENEJA KUJ IVUNA MBELE YA MAGUFULI KUWA CHAMA CHAO TAYARI KINA MTAJI KWA MAANA YA WALE WALIO PITA BILA KUPINGWA... NA KWA KAULI HIZI NI DHAHIRI WANATWAMBIA KWA VITENDO KWAMBA ULIKUWAMPANGO WAO MAKHUSUSI KUUVURUGA UCHAGUZI HUU NA KWA HILI TUNAPASWA TUKALIKATAE KWA NGUVU ZOOTE 28/10/2020...
Na hili tutaliweza endapo tukiikataa ccm kwa nguvu zote siku hiyo na hii ni kwasababu TAL tayari kasema wazi kuwa hatutakuwa na kiongozi aliyepita bila kupingwa...
Kwa kazi anazozifanya aendelee tu kikubwa maoni ya wengi yakilipitisha hili.
MAGUFULI4LIFE.