Bado nalia na uwezekano wa Magufuli kuongeza muda akichaguliwa

Hawezi kufanya hivyo wasiwasi wako tu chief.
 
Hapo mwanzo inaonekana dhamira ya kuongeza muda ilikuwepo ila kwa sasa sidhani kama kiafya atakuwa fit.
 
Kama kuna mtu atabadili katiba kwa njaa njaa zake na tamaa za madaraka anavunja utaratibu aliotuachia mwalimu, Tutakula naye sahani moja. Waanzilishi wa mgogoro dunia itawajua
Acha kutishia watu bhana. Sisi tunataka aongeze awamu ya tatu, ili rais wa sita akija hatutaki kusikia kampeni za maji, hospita, madarasa, barabara, madaraja. n.k tunataka kusikia uchumi technolojia kilimo cha kisasa iwe asilimia 10 ni wakulima na asilimia 90 wafanyakazi kwenye viwanda na taasisi mbalimbali. OVER. NARUDIA KATIBA SIYO MSAHAFU WALA BIBLIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…