Bado namfeel

M-bongotz

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Posts
1,736
Reaction score
408
Sijui niite ni tatizo au nini hiki,demu wangu wa mwisho kabla ya wife bado amenikaa akilini ile mbaya,msitake kujua kwanini tulimwagana, nampenda sana wife lakini huyu mtangulizi wake kila nikijaribu kumtoa akilini inakuwa ishu ingawaje ni miaka karibu minne sasa toka uhusiano ulipokufa by mutual consent.
 
Bila shaka ulioa kabla ya kukutoka kichwani .........kifupi bado unampenda ingawa unatumia maneno "bado yuko kichwani"...Tusiwe tunaingia kwenye ndoa tukiwa kwenye situation hii.

Ushauri: Wewe ni Baba, Kiongozi wa familia na mume....Hebu onyesha kwamba wewe ni kiongozi..Suala kama hilo halipaswi kukuhangaisha....Yakija makubwa ya kwenye ndoa utaweza?
 
Nayaelewa yote hayo mkuu lkn hadi nimeamua kuweka wazi hapa ni kwamba naona situation imeshakuwa unbearable,asante kwa advise lakini.
 
Chakufanya msahau huyo x girlfriend ili ufurahie maisha ya ndoa yako.
Jitahidi kuelekezea mawazo na jitihada zako kwa Mke wako.
 
ni afadhali kwamba yuko akilini na siyo moyoni...
 
Ulijaribu kutumia mapenzi mapya kusahau mapenzi ya nyuma; it works to some but it doesn't to many!

Kujaribu kumtoa, tafuta vitu vyake vilivyokuwa vinakuboa; capitalize on them, uvifikirie hivyo tu na mwisho utamchukia na hivyo kumfuta akilini!
 
Ulijaribu kutumia mapenzi mapya kusahau mapenzi ya nyuma; it works to some but it doesn't to many!

Kujaribu kumtoa, tafuta vitu vyake vilivyokuwa vinakuboa; capitalize on them, uvifikirie hivyo tu na mwisho utamchukia na hivyo kumfuta akilini!

Ulikuwa kwenye ubongo wangu, Hiyo ndiyo strategic mujarab...mwanamke una akili wewe uko single?
 
Ulikuwa kwenye ubongo wangu, Hiyo ndiyo strategic mujarab...mwanamke una akili wewe uko single?

Kijana hujui huyo ni mke wangu mpenzi?Kwanza unauliza ili iweje?
 
We bado una bahati mie ex wangu tuliachana miaka 38 Iliyopita na bado nikimlala shem wenu navuta hisia zake. Hawa mabinti zangu wawili nlojifungua na shem wenu, wamepitia thru radiation kwa tumbo la my ex......

Jamanie hivi leo jumangapi? Kongosho babe, please come this way.....
 
Last edited by a moderator:
Yupo akilini lakini sio moyoni??is it posible kweli?
 

big up swthat,kumbe smtym una maneno ya busara!
 
 
Last edited by a moderator:
Pamoja na ushauri wa Kaunga, unahitaji pia ku-capitalize kwenye uzuri wa mkeo. Angalia mazuri na juhudi zake kufanya maisha yenu yawe na furaha, ambavyo kwa sasa huvipati na huna hakika kama ungalivipata kwa ex wako.
Unahitaji na maombi pia. Kumbuka akili yako ilipoishia ni chini kuliko ya Muumba wako. Muambie Mungu siwezi mwenyewe, nisaidie! Utashangazwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…